Lini wanawake wa Tanzania watafuata haya maandiko

Naona hata hiyo 50/50 ijapo ipo kimaneno zaidi yaenda kufifia kila mtu atimize wajibu wake
 
Wanaume wa Daslam naona mshaanza kujitoa ufahamu kwa kujifanya walemavu ili muhalalishe uben10 kwa kutumia maandiko matakatifu....eehhhh
Amakweli wanaume tunazidi kutoweka kwa kasi kwenye uso wa Dunia aiseeeee

Katika ubora wao, wanaume wa Dar oyeeeee!
 
Wanaume wa Daslam naona mshaanza kujitoa ufahamu kwa kujifanya walemavu ili muhalalishe uben10 kwa kutumia maandiko matakatifu....eehhhh
Amakweli wanaume tunazidi kutoweka kwa kasi kwenye uso wa Dunia aiseeeee
Hahaha wanaume wa dar wanapenda dezo sana. Wamesahau kuwa mwanaume ni mtafutaji. Wanataka wao ndio walelewe
 
Hayapo kabisa kwetu,
Wanawake wa sasa wanaume ndiyo wanawatafuta!
 
Wanaume wa Daslam naona mshaanza kujitoa ufahamu kwa kujifanya walemavu ili muhalalishe uben10 kwa kutumia maandiko matakatifu....eehhhh
Amakweli wanaume tunazidi kutoweka kwa kasi kwenye uso wa Dunia aiseeeee
hahahah ninoma aiseee
 
Wanaume wa Daslam naona mshaanza kujitoa ufahamu kwa kujifanya walemavu ili muhalalishe uben10 kwa kutumia maandiko matakatifu....eehhhh
Amakweli wanaume tunazidi kutoweka kwa kasi kwenye uso wa Dunia aiseeeee
Daah nimecheka sana aiseeh
 
Back
Top Bottom