mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Haiingii akilini kuona uongozi wa vivuko vya mv kigamboni na magogoni hawaoni shida na mateso tunayopata wananchi. Uongozi huo hauna ubunifu wowote nyumba za abiria, "lounge" bado ni kuhudumia abiria wa miaka ya 90 viti vya cement.
Kutokana na wingi wa abiria msongamano umekuwa mkubwa abiria huanguka na kuzimia kutokana na uhaba wa hewa, joto in kali badala ya kuinua urefu wa majengo kwa maana ya paa, kuweka viti vya kisasa ili abiria atakaengia kwenye lounge akae, viwekwe AC sio zile feni , madirisha yawekwe abiria akae kwa raha hata kivuko kikichelewa lakini amepumzika kuliko sasa asilimia 80 abiria wanasimama. Hivi kufanya hayo mapendekezo mpaka uwe na Phd?