Lini tutakuwa na wakina Okiya Omtatah Okoiti wetu ??


maishapopote

maishapopote

JF Gold Member
Joined
May 28, 2009
Messages
2,137
Likes
1,206
Points
280
maishapopote

maishapopote

JF Gold Member
Joined May 28, 2009
2,137 1,206 280
Huyu jamaa si uwongo anajitahidi sana, ni mzalendo wa kweli na haogopi lolote,mwanaharakati na kiukweli sio mnafki hata kidogo...tumeona maandamano mengi sana yakipangwa na kuratibiwa na yeye...he was more than a movement...
Najaribu kufikiria hapa kwetu ni nani anweza kutuunganisha wanamageuzi na wanaharakati na wote wanaitakia mema nchi yetu tukasimama kupinga tunayofanyiwa kwa nguvu na sauti yetu ikasikika mbaaaali kama tunavyoona ndugu zetu majirani kenya wanavyofanya chini ya omtatah.....
Hapa ndo namkumbuka Marehemu Chacha Wangwe (R.I.P) yeye angeweza kutuunganisha kidogo maana alijaribu wakati fulani ...lkn Bado najiuliza lini tutampata okiya Omtath okoit wetu?
Can someone tell me pleaseeeee?
 

Forum statistics

Threads 1,251,853
Members 481,915
Posts 29,787,757