Lini tutaamua kuwa na Jeshi la Polisi lenye weledi

Jeshi la mkoloni tangu lini likawa na akili.

Ukiona taasisi inabeba watu waliofeli shule ujue hao watu wanaenda kutumika na watawala kwa maslahi yao binafsi.
Jeshi likiajili wasomi wengi Nani ataenda lindo wasomi wanataka wakae ofisini alafu waoga wa kufa ...ndio mana zimetoka nafasi chache za elimu ya juu .me ninaishi mtaani nao hao degree holder hawatakagi kazi za shurubu wapo radhi wahangaike na bahasha zao
 
Sababu mojawapo ni kuwa imekwishazoeleka kuwa Polisi wanaenda wenye uwezo mdogo kiakili. Kwa hiyo kumpeleka mwenye high IQ pilisi, kwanza niblaxima mfumo na sifa za ajira za polisi zibadilike. Zikibadilika, ikafahamika na mentality ikabadilika, wenye akili na good reasoning ability, watajiunga polisi.
 
IQ ya mtu aipimwi kwenye makaratasi.kuna watu Ni waelewa sana mtaani na mafundi kwenye kada tofauti lkn hawana hizo degree ...Me nimesoma ila siamini ktka katka iq ipo darasani .alafu ajira kiserikali inatakiwa isiwe yenye kubagua .siyo kila idara inahitaji wasomi pekee hata hawa wa chini nao ni watanzania wanatamani fursa Kama hizo.
 
Sababu mojawapo ni kuwa imekwishazoeleka kuwa Polisi wanaenda wenye uwezo mdogo kiakili. Kwa hiyo kumpeleka mwenye high IQ pilisi, kwanza niblaxima mfumo na sifa za ajira za polisi zibadilike. Zikibadilika, ikafahamika na mentality ikabadilika, wenye akili na good reasoning ability, watajiunga polisi.
Jwtz hadi la saba wapo .kuna kada watu wanaajiriwa mchanganyiko Kama kada ya ulinzi Sababu hskuna professional kama ni mafunzo mnaenda funzwa wote ikitokea kuna uhitaji bac bac wanachukua tena kwa idadi maalum
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom