Lini tuipata tena Mzizima?

Lucas

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
2,457
1,108
Hapo miaka ya nyuma historia yatuambia kuwa Dar es salaam iliitwa Mzizima, jina lililokuwa na asili ya mahali hapa kabla ya sultan wa kiarabu kubadilisha na kupaita Dar es salaam

swali langu na hoja yangu leo ni moja; kwa kuwa jina la Dar es salaam sio la asili ya watanzania bali la wageni, viongozi wetu hawaoni kubadili na kurudisha jina la Mzizima, ambalo limekaa ki utalii zaidi na kiasili zaidi kuliko la sasa (dar es salaam)

je suala hili limewahi jadiliwa popote na majibu yake yalikuwaje?
 
Wazo zuri sana lakini ukitaka kujua kuwa adui wa Mtanzania/Mwafrika ni Mtanzania/Mwafrika mwenyewe subiri usikie hizo pingamizi na kashfa utakazopewa na Watanzania/ Waafrika watakaochangia! Utaambiwa tuachane na hayo tufwatilie Oil na Gasi na mapesa Uswisi!

Kwa hilo nakuunga mkono 100%

ah ah ah, najua wapo watakaoona kuwa it is a long process! lakini tujifunze kwa Leopardville... leo baada ya uhuru wao ikarudishiwa jina lake, kinshasa...
 
Sasa kama kuna watu wanataka Tanzania iitwe Tanganyika sijui ni kwa sababu hawajui kuwa Tanganyika ni jina lililobuniwa na wakoloni wa kijerumani.
 
naomba unisaidie Azania ililetwa na nani?
 
Sasa kama kuna watu wanataka Tanzania iitwe Tanganyika sijui ni kwa sababu hawajui kuwa Tanganyika ni jina lililobuniwa na wakoloni wa kijerumani.

mkuu baba koku, unajua lakini kuwa angalau tanga na nyika walikuwa samaki wenye kutambulisha rasilimali zetu
 
Last edited by a moderator:
sio hizo mkuu basi Hata lake Victoria tubadilishe mitaa tubadilishe ni Kazi kubwa
 
wakuu wa serikali wakiamua linawezekana tu mbona, subiri CHADEMA wawsilishe muswada bungeni.
 
Back
Top Bottom