Lini reli ya kati na Tazara itakuwa hivi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lini reli ya kati na Tazara itakuwa hivi

Discussion in 'International Forum' started by rmb, Dec 4, 2010.

 1. r

  rmb JF-Expert Member

  #1
  Dec 4, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  BEIJING – A Chinese passenger train hit a record speed of 302 miles per hour (486 kilometers per hour) Friday during a test run of a yet-to-be opened link between Beijing and Shanghai, state media said.
  The Xinhua News Agency said it was the fastest speed recorded by an unmodified conventional commercial train. Other types of trains in other countries have traveled faster.

  A specially modified French TGV train reached 357.2 mph (574.8 kph) during a 2007 test, while a Japanese magnetically levitated train sped to 361 mph (581 kph) in 2003.

  State television footage showed the sleek white train whipping past green farm fields in eastern China. It reached the top speed on a segment of the 824-mile (1,318-kilometer) -long line between Zaozhuang city in Shandong province and Bengbu city in Anhui province, Xinhua said.
  [Rewind: Amtrack reveals vision for high speed rail]
  The line is due to open in 2012 and will halve the current travel time between the capital Beijing and Shanghai to five hours.

  The project costs $32.5 billion and is part of a massive government effort to link many of China's cities by high-speed rail and reduce overcrowding on heavily used lines.
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Dec 4, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Dah! Mambo mengine Bana hadi machozi yananitoka... Wenzetu wakiwa bize kufikiria watengeneze trani za mwendo kasi kama hiyo sisi tunafikiria Tatizo la umeme na maji. Mama wajawazito wanapelekwa hospitali kwa mkokoteni, watu wanakufa kwa kukosa huduma nzuri za afya. Tuko bize kuwekeana majungu, chuki na uzibe mradi tu wote msiendelee. Watu wanaua maalbino eti viungo vyao vinaleta utajiri. Wenye nafasi za kuleta mabadiliko wako bize kwa waganga ili waendelee kubaki kwenye nafasi zao bila ya kuleta mabadiliko yoyote..

  Eeeee Mungu Uturehemu sisi viumbe wako.

  Aaaaargh!
   
 3. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #3
  Dec 4, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Badala ya kuwapa kandarasi watu wa maana sisi tunawapa gabachori unategemea nini?
   
 4. Gwaje

  Gwaje JF-Expert Member

  #4
  Dec 4, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 271
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 45

  angalia gharama za wenzetu, 32.5 billion, Linganisha na gharama za mradi wa maji ya ziwani mwanza to shy billion 250 TZS watu wanaonufaika hawafiki 1 million
   
 5. r

  rmb JF-Expert Member

  #5
  Dec 4, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wabongo maneno mengi sana lakini utendaji sifuri sijui nani aliyetuloga sisi!
   
 6. De Javu

  De Javu JF-Expert Member

  #6
  Dec 4, 2010
  Joined: May 5, 2010
  Messages: 266
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nani wa kulaumiwa ? siasa za bongo ni "Amani na utilivu" CCM daima, alternatively ondooeni uoza wa miaka 50 mupate mabadiliko....... Ukiona vyaelea vimeundwa....maendeleo ndio yanaleta amani na utulivu sio kutishana kwa nguvu za dola!! Wapeni nchi wenye uchungu wa maendeleo sio uchungu wa kuibia nchi.
   
 7. r

  rmb JF-Expert Member

  #7
  Dec 4, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sijui wananchi hawataki maendeleo ndo maana wanaendelea kuwapa au jamaa hawakubali matokeo kama inavyotokea sasa huko Ivory Coast? Kwanini sisi tushindwe??
   
 8. m

  muturutumbi Member

  #8
  Dec 4, 2010
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  reli ni muhimili wa uchumi kwa watanzania na wazambia, kwangu mimi pia reli ni usafiri kama usafiri mwingine ndani ya nchi yetu, kwa fikara zetu ni muhimu kubadilika na then mambo yatakwenda, naamini kuwa watanzania tunaweza sana isipokuwa ufinyu wa mawazo ni tatizo kwa wengi.
   
 9. Ikimita

  Ikimita JF-Expert Member

  #9
  Dec 4, 2010
  Joined: Oct 23, 2010
  Messages: 302
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  :hail::hail::hail:
   
 10. Sijali

  Sijali JF-Expert Member

  #10
  Dec 5, 2010
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 2,062
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 180
  In order to develop we need to discard our 'crab in a bowl' mentality: everybody is pulling down whoever is trying to climb out of the bowl!
   
 11. r

  rmb JF-Expert Member

  #11
  Dec 6, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hii mentality kuitoa ni ngumu sana maana inaaonekana ipo kwenye damu zetu kabisa! Tumwombe Mungu tu awabadilishe hao waliopo kwenye system kwa sasa wakumbuke kama kuna watanzania wengine (nikiwemo na mimi) wana shida hasa!
   
 12. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #12
  Dec 6, 2010
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  10% Syndromic impacts
   
 13. r

  rmb JF-Expert Member

  #13
  Dec 6, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kweli haka kaugonjwa ka 10% kwa upande fulani kanachangia! Nimemsikia Magufuli akiwatishia maafisa wa wizara yake badala ya kuchukua hatua! kazi tunayo
   
Loading...