LINI RAIS ATAFANYA ZIARA NJE? who can guess

Bongolander

JF-Expert Member
Jul 10, 2007
5,067
2,197
Wakuu mara ya mwisho rais kusafiri ilikuwa lini, na nani anaweza kukisia lini tena rais atasafiri, ataenda wapi na kwa sababu gani. Naona safari hii amekaa sana bila kusafiri. Labda safari zinapikwa. Kwani hawezi kuteua cabinet akiwa safarini? au ni lazima asafiri na baadhi ya aliowateua.
 
Akimaliza kuteua cabinet, then anaenda kujitambulisha US kwa Obama na akitoka hapo atapitia UK kwa David Cameroon
 
Akimaliza kuteua cabinet, then anaenda kujitambulisha US kwa Obama na akitoka hapo atapitia UK kwa David Cameroon

Umepatia haswa, mara tu baada ya kutangaza Cabinet muungwana lazima aende kupumzika majuu kwahiyo tegemea kusikia anabembea huko wakati wowote kabla ya mwisho wa mwezi wa kumina moja!! Afya yake imeteteleka sana kwa dhoruba za uchaguzi; lazima aende kukarabatiwa!!
 
na kule kwenye bembea kupunguza headache ya kampeni! LOL. Kisha akirudi dili la barabara ya ngorongoro linaanza kutekelezwa
 
Akimaliza kuteua cabinet, then anaenda kujitambulisha US kwa Obama na akitoka hapo atapitia UK kwa David Cameroon

haha kwa cameroon ndo atashangaa sasa maana wale jamaaa ni CHADEMA damuuuu..lazima watamuhoji juu ya uchakachuaji wa kura..Ila i guess next week lazima asafiri kwenda kupunga upepo nje kwanza maana kakimbizwa sana this time
 
Wakuu mara ya mwisho rais kusafiri ilikuwa lini, na nani anaweza kukisia lini tena rais atasafiri, ataenda wapi na kwa sababu gani. Naona safari hii amekaa sana bila kusafiri. Labda safari zinapikwa. Kwani hawezi kuteua cabinet akiwa safarini? au ni lazima asafiri na baadhi ya aliowateua.

Kabla mwaka huu haujaisha lazima atasafiri - niliona sehemu kwamba kutakuwa na mkutano wa ma-Rais nchi fulani.
 
na kule kwenye bembea kupunguza headache ya kampeni! LOL. Kisha akirudi dili la barabara ya ngorongoro linaanza kutekelezwa

Yaani unamaanisha ili KUIKOMOA KARATU kwa kuendelea kutoichagua CCM?????? Me hilo vuguvugu nililikuta Karatu nikadhani ni usainii na matisho ya kisisasa kumbe ni utashi wa kiuongozi....!!!! Hakyanani, nguruwe nguruwe tu hata umuwekee mapembe ya mbuzi
 
sidhani kama atasafiri kipindi hiki,maaana kwanza inaonekana kabisa hakuna cha kufanya nje ,na baadhi ya nchi tayari washajua nini kifanyika,hivyo hata akitoka hatakuwa na safari nyingi kama zamani.kwani yeye ni mjinga ajipeleke kuulizwa??:tape:
 
Back
Top Bottom