simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,206
Kwa hali ilivyo Muungano mmekuwa more of hindrance than help kuchochea maendeleo ya kijamii na Uchumi Zanzibar. Wanzazibari walio wengi hawana imani na Muungano hasa baada ya uchaguzi haramu wa marudio. Serikali iliyopo madarakani imekosa kabisa uhalali wa kisiasa kutawala Zanzibar. Katiba mpya na pendekezo la serikali tatu ilikuwa fursa adimu ya kujenga muungano mpya Tanzania. Mapendezo ya Warioba yalipigwa chini kwa dharau na mbembwe ya kukata viuno hapo Dodoma. Leo hii tupo kwenye crisis ambayo haijawahi kutokea .Lini watawala mtapata ujasari wa ku overhaul au decomission Muungano once and for all.