Lini mwisho wa kulipia ada ya mtihani wa taifa wa kidato cha nne?

mumilo

Member
Feb 7, 2017
11
0
Nina mtoto anasoma kidato cha nne, ambapo anategemea kufanya mtihani wa mwisho wa kumaliza kidato cha nne, sasa basi, Naomba mnijulishe mwisho nilini tarehe ya kulipia ada ya mtihani Wa kumaliza kidato che nne 2017.
 
Back
Top Bottom