Lini mtastaafu siasa? Mnachosha sana

m2020

JF-Expert Member
Jul 10, 2016
979
1,353
Nawauliza wakongwe hawa wanaomiliki vyama vya siasa Tanzania na maarufu kwa kugombea uongozi wa juu wa nchi na ndani ya vyama kila uchaguzi unapokuja. Ni lini mtastaafu siasa maana mmechosha sana maskioni mwetu?

1. Seif Sharif Hamad.
2. Mbowe Freeman.
3. Lowasa Edward.
4. Lipumba Ibrahim.
5. Cheyo John.
6. Dovutwa.
7. Zito Kabwe.
 
heheheh zitto kabwe ni mkongweeee???
Mkuu huyu ni hatari zaidi KWA demokrasia ya nchi yetu kwani ameamua kukimiliki chama chake kabisa kwani hachaguliwi kabisa kwa kura kupitia uchaguzi. Anajiita mmiliki wa Act Wazalendo.
 
Kama wapya kina Jiwe wanavuruga mambo kiasi hiki acha sisi wakongwe tuendelee kubaki kwenye siasa kulisaidia hili taifa!
 
Wewe nawe umekula bangi ya magadini nn sasa mbona hujaweka mbadala wa hao watu au ww ulishiriki kumtua tundulisu
 
Mkuu huyu ni hatari zaidi KWA demokrasia ya nchi yetu kwani ameamua kukimiliki chama chake kabisa kwani hachaguliwi kabisa kwa kura kupitia uchaguzi. Anajiita mmiliki wa Act Wazalendo.

Huo upuuzi ulioandika pale juu tungeuona wa maana kama tusingeona ccm inafanya ukatili wa kutisha na kutoka na mabox ya kura kwenda kujaza kura, kisha kiyarudisha yakiwa yamejazwa kura za ccm ili ccm iendelee kukaa madarakani bila ridhaa ya wananchi.
 
Nawauliza wakongwe hawa wanaomiliki vyama vya siasa Tanzania na maarufu kwa kugombea uongozi wa juu wa nchi na ndani ya vyama kila uchaguzi unapokuja. Ni lini mtastaafu siasa maana mmechosha sana maskioni mwetu?

1. Seif Sharif Hamad.
2. Mbowe Freeman.
3. Lowasa Edward.
4. Lipumba Ibrahim.
5. Cheyo John.
6. Dovutwa.
7. Zito Kabwe.
Mbona hukuwai kuuliza mzee wasira atastaafu lini siasi
 
Nawauliza wakongwe hawa wanaomiliki vyama vya siasa Tanzania na maarufu kwa kugombea uongozi wa juu wa nchi na ndani ya vyama kila uchaguzi unapokuja. Ni lini mtastaafu siasa maana mmechosha sana maskioni mwetu?

1. Seif Sharif Hamad.
2. Mbowe Freeman.
3. Lowasa Edward.
4. Lipumba Ibrahim.
5. Cheyo John.
6. Dovutwa.
7. Zito Kabwe.
Na wewe anzisha chama chako au jiunge na vilivyopo tuone mchangi wako badala ya kulia lia hapaaa...
 
Nawauliza wakongwe hawa wanaomiliki vyama vya siasa Tanzania na maarufu kwa kugombea uongozi wa juu wa nchi na ndani ya vyama kila uchaguzi unapokuja. Ni lini mtastaafu siasa maana mmechosha sana maskioni mwetu?

1. Seif Sharif Hamad.
2. Mbowe Freeman.
3. Lowasa Edward.
4. Lipumba Ibrahim.
5. Cheyo John.
6. Dovutwa.
7. Zito Kabwe.
Mpaka mkoloni mweusi ccm atoke madarakani.
Lipumba Cheyo Dovutwa Mrema hawa ni jumuiya ya ccm
 
Huyo namba Moja Ndugu Seif Sharif Hamad , wote alioanza nao Siasa Africa Mashariki Na kati wameshaacha Siasa kasoro Yeye
Tangu 1972-2018 bado yupo tu!

Kaanza Siasa wakati huo Mama yake Mwigulu, Zitto, Kigwangala, Bashe, Sugu, Mtatiro, Jussa, January, Mnyika, Kubenea, Mdee, Bado hawabeba Mimba za waheshimiwa hao
 
Back
Top Bottom