Lini MOE watatoa ajira za walimu walizo tangaza mwezi wa 8?

Goodhope12

Member
May 15, 2017
24
16
Jamani habari za muda huu?

Naiomba Wizara ya Elimu watuambie basi lini watatoa ajira za walimu walizotangaza nafasi zake mwezi wa 8. Vijana tunazisubiri sana tunaomba wizara husika itufikirie.

BORA WATOE MAJINA ELIGIBLE ILI WENGINE TUJUE NINI CHA KUFANYA.
Kwani hata kama nafasi zilikuwa chache lakini tunaomba watoe ili tujue jaman...!
 
AJIRA ZA WALIMU WA Biashara(economics),math, physics na Agriculture walizo utangazia uma lini watazitoa? walimu tarajali tunaomba wazitoe mapema ili tujue jamani.
Tuna iomba wizara ya elimu isikie kilio chetu jaman kwani wengine huku kitaa mambo hayaendi kabisa na tayari tulituma application kwa katibu mkuu wa moe. bora watoe hata kama hatuta kuwemo kwenye orodha poa tu.. ila tunaomba watoe jamani.
 
Habari za saizi.........
Napenda kuuliza lini tutegemee ajira za ualimu zile zilizotangazwa mwezi wa (8) za walimu wa Biashara(Economics), math , physics na agriculture.
 
Subiri kwanza wapo bize na uchaguzi Mdogo wa madiwani wakimaliza ndio watakuja huku.
 
eff00c63d2ba83956c9cd305839db335.jpg
 
bb10c846d20af03300e77af960895760.jpg
KWAHIYO WATAKUWA WAMEBATILISHA MAOMBI YALE TULIYO TUMA MWEZI WA NANE? LAKINI HATA HIVYO MBONA HAWAJATOAPO NAFASI ZA KUTUMA KWA WENGINE WA MASOMO YA CHEMISTRY NA BIOLOGY PIA MBONA WALISEMA ZIPO NAFASI ZA WALIMU 92, NDG NAKUOMBA BASI TOA SOURCE YA HIYO TAARIFA YAKO.
 
MHESMIWA WAZIRI VIJANA TUNAKUOMBA TOA AJIRA ZA WALIMU WAPYA TULIZO TUMA MAOMBI MWEZI WA 8. Tunakuomba sana kama tumekukosea tunaomba tusamehe basi.
 
Mkuu anza kufikiri nje ya box, ukitegemea hizi ajira utakuwa disappointed mwishowe unapata frustration huku muda nao haukusubiri
 
Inamaana Ajira zenu zina umuhimu kuliko wagonjwa wa Chato wasio na hospitali kubwa ya Rufaa?

Ualimu wenu una manufaa katika nchi hii kuliko mifugo ya Chato iliyokosa taa za barabarani tangu kupatikana kwa uhuru wa nchi hii ?
 
Ajira ndo kila kitu kwa Maisha ya kitanzania, hizo taa anazomulikia gombe zinakera sana
 
Inamaana Ajira zenu zina umuhimu kuliko wagonjwa wa Chato wasio na hospitali kubwa ya Rufaa?

Ualimu wenu una manufaa katika nchi hii kuliko mifugo ya Chato iliyokosa taa za barabarani tangu kupatikana kwa uhuru wa nchi hii ?
Huyu jamaa ni mnafiki duuh
 
Hivi jamani naomba kuuliza ajira za wa sekondari lini zinatoka kwa anaejuwa maana watu wamesugulia mtaani sana kwa anajua au ni nini mpango wa serikali kwa vijana waliomaliza ualimu vyuo vikuu.
 
Back
Top Bottom