Lini MOE watatoa ajira za walimu walizo tangaza mwezi wa 8?

Kama ni mwalimu wa masomo ya art ,,,kachukue bachelor nyingine...ni maoni tuu...ungrmwuliza yule ngosha ungepata jibu sahihi
 
Inamana ndalichako yupo humu jf...nataka nimufate home kwake hilo swali atanujibu...
 
Nchi ya wasanii hii
2020 bora tuende ambako hatujui na wao uwezo wa kuamua mambo ili tuweze kufanya ulinganifu wa mambo,,,,walahi naapa mkiwapa wapinzan kwa mwanzo mtafaid sana maan watafanya yote mazur ili na wao waonekane kuwa wapo na wanaweza,,,,asa why tusijaribu tu?
 
Back
Top Bottom