Lini maombi ya kujiunga na law School of Tanzania hufanyika?

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,663
18,037
Nilitamani mwanangu ajiunge na law School of Tanzania mwaka huu januari au June.

Cha kushangaza Ni kuwa intake zote zimeshajaa. Je waliomba lini?

Ina maana aliyehitimu 2020 nakupata cheti chake Desemba 2020 Hana uwezekano wa kuwahi kuomba intake yoyote ya januari au June?
 
Dirisha lilifunguliwa mwezi wa nane na likafungwa mwezi wa kumi na majibu yametoka mwezi wa kumi na mbili.Intake ya January wako wanadahiliwa Sasa wa mwezi wa saba tutadahiliwa mwezi wa saba mwanzoni.Kwa mwanao isingewezekana wangemtosa kwa incomplete llb results hivyo asubiri kuapply mwaka huu ili aingie mwakani.Asante.
 
Back
Top Bottom