Lini binadamu alianza kuongea?Je lugha msingi wake ni nini?

Sauti inayotoka kinywani ndio sababu ya viumbe vyote kuelewana
Maana yake ni kuwa kama sauti imatoka hata kwa nyangumi wataelewana tu
Na neno Mama ndio lina nguvu sana kwa binadamu
Swali kuwa tulianza lini kuongea ni tangu enzi
Sasa kwanini mbwa wasiwaelewe paka na panya wasiwaelewe panya na binadam wasiwaelewe nyani?
 
hawaelewani kwasabab hawaishi pamoja...Je binadam na mbwa wakiishi pamoja watelewana?

Utofauti uko hapo ni viumbe tofauti ila mbwa na mbwa wataelewana ila binadamu na mbwa haiwezekani kwa lugha Bali kwa sign na baadhi ya maneno mbwa atakuelewa ila binadamu ataelewa tu kama kuna hatari
Kwa hitimisho hawataelewana kihivyo
Ngoja nifanye utafiti kama linawezekana
 
Utofauti uko hapo ni viumbe tofauti ila mbwa na mbwa wataelewana ila binadamu na mbwa haiwezekani kwa lugha Bali kwa sign na baadhi ya maneno mbwa atakuelewa ila binadamu ataelewa tu kama kuna hatari
Kwa hitimisho hawataelewana kihivyo
Ngoja nifanye utafiti kama linawezekana
sabab ulotoa ni kuwa hawataelewana kwasabab ni specie tofauti.
Swali nlilouliza ni kwanini specie tofaut hazielewani?
nenda deep zaidi mkuu yani mambo ya design za uelewa wa lugha kwenye ubongo wa mnyama....inakuwaje ubongo ukisikia mama unatafsiri ni yule mwanamke aliyenizaa/aliyezaa..lakini sio mbwa akibweka hata uishi naye huwez kujua mbweko huu umemaanisha 'mama'

Nakwanini asilimia kubwa ya lugha duniani zinafanana neno Mama....
yaani neno mama,mom,ma...ni universal kama lugha zina machimbuko tofauti kutegemeana na jamii husika na geographical location yake?
 
Back
Top Bottom