Linganisha Delegation ya Botswana na ya Tanzania kwenye kuapishwa Rais Mteule wa Zambia

Hizi ni nchi mbili tofauti sana wala hazilinganishiki. Botswana kwa ukubwa ni karibu tuko sawa lakini 90% ni tupu, ni jangwa. Idadi ya watu ni ndogo kuliko Mkoa wa Singida, yaani sawa na Zanzivar. Hazilinganishiki. La pili ni kuwa Tanzania imeigomboa Namibia, Zimbabwe, South Africa na Zambia yenyewe. Botswana haina stori yoyote ya ukombozi. Shaka ni Kiongozi wa juu wa Chama kilichosimamua ukombozi wa eneo lote Kusini mwa Africa.
Zambia tumeikomboa lini? Unajua walipata uhuru vipi na mwaka gani?
 
Back
Top Bottom