Linex ( Sunday Mjeda ) moja ya wasanii wa kipekee na wanaojua lakini muziki unawatupa mkono

Hata mimi si mpenzi sana wa mziki wa Kitanzania haswa wa kizazi kipya, ila Linex, Jux na Barnaba nawakubali, ni wasaniii. Wanaujua muziki.
 
Labda kama amekata tamaa, lakini uwezo wake bado ni mzuri
Kuna ule wimbo wake mpyampya naupenda sijui unaitwaje, jamaa ana kipaji sana sema ndo hivo naona kama upepo umemkataa na stress zimeanza kumsumbua hadi anaanza kulilia credit kwenye nyimbo za zamani
 
Walipotoka kimuziki walijisahau wakaendekeza usela wakijua ukiimba tu basi utaendelea kutoboa, wakashindwa jibrand na kuwa official hili ni tatizo kwa wasanii wetu wengi mifano ipo hai tangu zamani wasanii waliondekeza usela na wakakosa washauri wengi wamepotea ila wale waliostuka bado wapo na mziki umewajengea heshima mpaka leo mfano tuangalie

HBC iliyoundwa na prof jay, terry na fanani kipindi wametoka Jay alikaza akaheshimu mziki akuendekeza usela leo sote mashahidi jay yupo na heshima ipo ila kina fanani waliendekeza usela matokeo yake mnaona leo

East coast team kipindi chao wanafanya mziki wa ushindani na TMK kuna watu East Coast waliendekeza usela ila AY na FA kama walisoma mchezo wakapunguza usela wakafocus na vitu vya msingi leo tunawaona hao hapo

Juma nature alipata jina kubwa sana tena sana akaendekeza usela sela tu uswahili swahili tu leo yupo ila alipaswa awe zaidi ya hapo alipo

Njoo kwa wadada sister P zay B nk wote walipotea kisa usela ila Jide tunamuona alipata watu sahihi wakamuonyesha njia

Angalia afande sele hivyo hivyo usela sela leo yupo yupo tu ukiangalia wenzake kina solo thang, prof, sugu, mr paul nk wapo ila heahima ipo sababu hawakuendekeza usela

NB
Naposema usela na imanisha kupuuzia vitu kila jambo kuchukulia pouwa tu msanii baada ya jina kuendekeza starehe za kijinga kuendelea kuwa na marafiki wasio na future wala challenge ya maisha na kutotaka kujifunza kitu kipya kisa wewe msanii una jina

Kituko jana nimeona interview ya Q chief analalamika anasema anaacha mziki sababu eti uwezo anao nyimbo nzuri anazo anashangaa nini kinafanya asirudi kwenye game anasahau kipindi katoka aliendekeza usela akawa hana displine na kazi yake mpaka watu nakwakua kasosa washauri basi bado wanadanganya afanye mziki kitu ambacho kinampa stress hawamwambii ukweli kuwa bro zama zako zimepita na ans hits song nyingi sana kwaiyo hata atoe hits yoyote leo kwakuwa watu wamemzoea kwa hits hawezi kupiga pesa kama msanii mpya cha msingi yeye atulie aendelee kufanya mziki atafute band kama kina banana zoro aendelee kubudisha uku anajipatia riziki sasa yeye Q chief anaitaji awike kama mda ule kitu ambacho hakipo
 
Walipotoka kimuziki na walijisahau wakaendekeza usela wakijua ukiimba tu basi utaendelea kutoboa, wakashindwa jibrand na kuwa official hili ni tatizo kwa wasanii wetu wengi mifano ipo hai tangu zamani wasanii waliondekeza usela na wakakosa washauri wengi wamepotea ila wale waliostuka bado wapo na mziki umewajengea heshima mpaka leo mfano tuangalie

HBC iliyoundwa na prof jay, terry na fanani kipindi wametoka Jay alikaza akaheshimu mziki akuendekeza usela leo sote mashahidi jay yupo na heshima ipo ila kina fanani waliendekeza usela matokeo yake mnaona leo

East coast team kipindi chao wanafanya mziki wa ushindani na TMK kuna watu East Coast waliendekeza usela ila AY na FA kama walisoma mchezo wakapunguza usela wakafocus na vitu vya msingi leo tunawaona hao hapo

Juma nature alipata jina kubwa sana tena sana akaendekeza usela sela tu uswahili swahili tu leo yupo ila alipaswa awe zaidi ya hapo alipo

Njoo kwa wadada sister P zay B nk wote walipotea kisa usela ila Jide tunamuona alipata watu sahihi wakamuonyesha njia

Angalia afande sele hivyo hivyo usela sela leo yupo yupo tu ukiangalia wenzake kina solo thang, prof, sugu, mr paul nk wapo ila heahima ipo sababu hawakuendekeza usela

NB
Naposema usela na imanisha kupuuzia vitu kila jambo kuchukulia pouwa tu msanii baada ya jina kuendekeza starehe za kijinga kuendelea kuwa na marafiki wasio na future wala challenge ya maisha na kutotaka kujifunza kitu kipya kisa wewe msanii una jina.
Oyomba na gone.
Nahene twaimala
 
Kuna ule wimbo wake mpyampya naupenda sijui unaitwaje, jamaa ana kipaji sana sema ndo hivo naona kama upepo umemkataa na stress zimeanza kumsumbua hadi anaanza kulilia credit kwenye nyimbo za zamani
Hata kama akipewa haki zote za huo wimbo, kibongo bongo ataufanyia nini ?
 
Back
Top Bottom