Linex Sunday Baraka aibuka upya mwaka 2019

Linex ana sauti poa ila sijui nyota

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni jambo la kushangaza inakuwa vipi huyu jamaa yetu Linex Sunday Mjeda bado watu hawampi heshima anayostahili ktk tasnia ya muziki wa Tanzania. Pengine akiweka kambi nchi ya jirani chini ya menejimenti na promota makini, nyota yake itangaa na kuwa ' Juu Mawinguni' - Pierre Liquid wote kuiona.



Source: Sunday Mjeda
 
Back
Top Bottom