Line ya kwanza hapa Tanzania iliuzwa shs ngapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Line ya kwanza hapa Tanzania iliuzwa shs ngapi?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Ziroseventytwo, Oct 5, 2012.

 1. Ziroseventytwo

  Ziroseventytwo JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 3,520
  Likes Received: 1,515
  Trophy Points: 280
  Kama kumbukumbu zangu zitakuwa sahihi kampuni ya kwanza ya simu za mikononi ilikuwa ni Mobitel, ambayo sasa ni tiGO. Kampuni ya pili ilikuwa ni Tritel. Baada ya kutoka kwenye mfumo wa "analogi" na kuingia digital ndipo walipoanza kuuza line au sim card tunazotumia sasa. Kuna uvumi kuwa line ziliuzwa mpaka Tsh 100000/=kwa makampuni hayo mawili. Tritel haikudumu ikafilisika. Swali hapa ni je watu walionunua sim card za tritel walirudishiwa pesa zao? Ikumbukwe miaka ya mwisho ya 1990, 100000/= ilikuwa ni pesa nyingi sana. Pamoja na ukiritimba wa makampuni ya cm, kutotoa huduma zinazo takiwa kama kukatwa pesa kwa gharama za kupokea cm, kama cm yako haikuwa na pesa usingeweza kupokea cm yoyote mpaka urecharge acc yako! Hoja hapa ni Sim card iliuzwa bei gani? Mimi yangu nilinunua Tsh 10000/= mwaka 20000 ikiwa na 5000/= muda wa maongezi kampuni ilikuwa celtel
   
 2. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,177
  Trophy Points: 280
  Nakumbuka mshua mmoja ana reminisce kununua "line" $50 Tritel miaka ya tisini.
   
 3. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,177
  Trophy Points: 280
  Inawezekana si BC wala AD anatumia kalenda ya Wagagagigikoko. :)
   
 4. Ziroseventytwo

  Ziroseventytwo JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 3,520
  Likes Received: 1,515
  Trophy Points: 280
  hiyo typing erra. Nilikuwa naanisha 2000. Sorry
   
 5. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Asante kwa uungwana mkuu, nimeidelete ile post yangu ilokuwa inakosoa!!!
   
 6. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  aluuu hii ni bc au ad?
   
 7. h

  hacena JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 619
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  yangu nilinunua tsh15000/= vodacom na mpaka leo bado ninayo haijawahi kuchongwa na sijawahi kubadili namba waambieni voda wanipe zawadi bc, na wakati huo hatukuita vocha tuliita dola, asante kwa kunikumbusha tritel
   
 8. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  A na S ziko karibu mkuu, kama unatumia blind typing ni rahisi kuchanganya. Nimeiedit kaka!!!
   
 9. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  pamoja kaka
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mie lain yangu nilinunua 6,000/=
   
 11. N

  Nyasiro Verified User

  #11
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mie nlinunua yangu sh jero hacena umenkumbusha hilo neno dola lilikua limefutika kichwan kwangu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Ziroseventytwo

  Ziroseventytwo JF-Expert Member

  #12
  Oct 5, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 3,520
  Likes Received: 1,515
  Trophy Points: 280
  Kuna jamaa yangu m1, kanipigia, anaijua id yangu anasema, baada ya tritel kufulia yeye akiwa mteja wao walifungua kesi kutaka kurudishiwa pesa zao, lakini baada ya ujio wa vodacom, tritel walitaka kuwafaulishia vodacom lakini mobitel wakafungua kesi kitengo cha biashara wakitaka wateja wa tritel iliyofulia wawe huru kujiunga na kampuni wanayotaka wasipangiwe na tritel. Yeye anasema alinunua sim card kwa us $ 45. Lakini hakuwa kurudishiwa
   
 13. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #13
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Ili nini? kero nyingine balaa!!!!
   
 14. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #14
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,034
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Line yangu ya mobitel nilinunua kwa shilingi 22 elfu na simu yake ilikuwa sonyerikson ina mkonga kama redio ya police. Walipokuja voda walitugawia line na muda muda wa maongezi wa shilingi 2000 bure siku ya xmass
   
 15. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #15
  Oct 5, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mie yangu mobitel 10K mpaka sasa ninayo sijui ilikuwa shilingi ngapi?
   
 16. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #16
  Oct 6, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  mh! Mkuu pc yako ina brail? How come
   
 17. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #17
  Oct 6, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145

  .

  nyie watu siwaamini, nili2mia chip yangu kwa miaka kama 7 hivi siku naitoa kwenye sim ika fall into pieces mikononi mwangu
   
 18. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #18
  Oct 6, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Hapa wazee na vikongwe watajulikana. Mi nadhani nilinunua tshs 40,000 ama 50,000. I still have the number but chip nimeshabadili sababu ya kuzipoteza. Na 'dola' ilikuwa tshs 5,000 na kuendelea. Sms zilikuwa bure. Sikukatika vidole enzi zile, whatsup na viber havinitishi wala nini.
   
 19. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #19
  Oct 6, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Kumbu kumbu zangu ni kuwa Vodacom ndo walikuja na Digital wakati bado tigo na tritel wanatumia analog. ulikuwa ukienda Vodashop uki submit line ya tigo au tritel unapewa line mpya na simu ya Twanga pepeta bure. jamaa withi 3 month wakawa na wateja 150,000 kitu ambacho hawakutegemea. Tigo na tritel waliuza ile mishindi yao mpaka kilo 9, wakati ule ulikuwa ukionekana una simu ya mkononi kila mtu atatoka nje kukuangalia code namba zilianza na 08... baadaye ndo serika li ikabadirisha zikawa 07.. Vodacom walipokuja waliweka sms bure, watu wakagongwa na magari sababu ya sms, miezi km nane hivi wakafanya sms moja shs 4 weee wa TZ tulivyozoea vya bure watu etiu ooooh tugomee service za vodacom kisa bure imeondoshwa hahahahahahahah.
   
 20. deogan

  deogan JF-Expert Member

  #20
  Oct 6, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 407
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Line 25000 na siemens c25 128000 plus vocha ya dola tano

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
Loading...