Line between life and death

Binadamu ni zaidi ya seli.
Ana mind ana consciousness ambavyo ni matokeo ya nafsi iliyo katika roho.
Naunga mkono hoja
P
 
Hujajibu swali.

Hiyo roho unaweza kutuhakikishia ipo?
P
 
English inachochea maambukizi ya virusi vya korona
Hivi kwanini watu wanapenda kupuuza wosia wa marehemu?. Mara hii wamesha sahau kwamba mpendwa alitukataza kutumia vitu vya mabeberu ili tuvilinde vya kwetu!
 
P
Bado hujahakikisha roho ipo.
 
Bado hujahakikisha roho ipo.
Mkuu Kiranga, dini ni imani, tumeaminisha Mungu ametuumba kwa udongo akatupulizia pumzi ya uhai ambayo ndio roho. Mtu akifa anasemwa amekata roho kwa roho kuacha mwili. Roho haifi.

Japo this is just a belief, there is no any proof of presence of God na kutuumba kwa udongo na kutupulizia pumzi ya uhai lakini kuamini kunakifanya hicho kitu kuwepo. Kuamini Mungu kunamfanya awepo.

Kwenye hili la kuamini Mungu yupo, kwa vile wewe unajulika wazi ni atheists, then our arguments zina fall kwenye parallel lines, we'll never meet!. Ma atheists wanataka a scientist proof of God, ambayo haipo, sisi waumini tunaamini kwa imani tuu kuwa Mungu yupo bila any scientific proof of His existence na ni kupitia powers zake tunayaona matendo Yake, uwezo Wake na uwepo Wake!.

Ukiamini wewe ni Katibu Mkuu wa umoja wa Mataifa, kuamini huko kunakufanya uwe Katibu Mkuu wa umoja wa Mataifa kweli?
 
Back
Top Bottom