LINDI: Wanawake wagalagala chini kwa ishara ya upendo kwa Rais wa Jamhuri ya muungano Dkt. Samia Suluhu Hassan

RWANDES

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,615
3,909
Wanawake wa Kata ya Mnazi Mmoja mkoani Lindi, wakigalagala chini ikiwa ni ishara ya upendo wao kwa Rais Dkt @samia_suluhu_hassan na kwamba wamefurahishwa na kitendo cha yeye kuitembelea Kata hiyo.
 
Ni ujinga na njaa tu,ninavyopajua Mtwara hapo utakuta walitoka kuchota maji kwenye madimbwi saa kumi za usiku ili wawahi kumshangilia anayewatia njaa.

Mimi kama mkazi wa huko nikiona mke wangu ktk hilo kundi kesho angeamkia kwa baba yake
Unasema ukweli lakini kumbuka Mikoa ya Kusini ina umasikini wa hali ya juu hiwezi kuifananisha na Kilimanjaro na Arusha.

Labda Samia atakuja mpango maalumu kuipa kipaumbele Mikoa hiyo kwa wawekezaji.
 
Back
Top Bottom