Lindi: Wanachama wanne wa CHADEMA watupwa jela miaka 8

Screenshot_20220222-001006.jpg
 
to be honest mimi huwezi kunitoa nilipo nikafanye lolote kwa ajili ya mwanasiasa huo ni ujinga mkubwa sana katika maisha .

ona sasa unakula miaka 8 k'zembe hata aliyesababisha hana hatapeleka hata kilo ya unga kwa familia

dunia hii ...

Wanavunjwa miguu hakuna wa kuwasaidia 😁 ilihali wakubwa wamekaa manyumbani mwao wanakula bata,
 
Wanayataka wenyewe,,,wakubwa wamekaa na familia zao manyumbani wanakula bata na wengine wako europe wanaenjoy nyie mnahangaika barabarani mkipigwa mnalialia,,,wakubwa hawana habari nanyi
We ni mmoja wa wahuni huko ccm
 
Wanavunjwa miguu hakuna wa kuwasaidia 😁 ilihali wakubwa wamekaa manyumbani mwao wanakula bata,
yaani mimi huwezi nikuta kwenye huo upuuzi bora niwe bendera fuata upepo atakayeingia madarakani nafuata huyo huyo.

nikauawe au nitupwe jela,nifanywe kilema niache familia yangu inahangaika kisa nini ?
 
Upuuzi mtupu, huko mikoani hao mahakimu fake wanajiona kama mungu, kesi za kisiasa hizi na kukomoana tuu, wanasheria mnaweza kujitolea kwenda kuwakatia rufaa na kuwapigania nina uhakika ni uonezi mtupu
Ndiyo ujinga wa hawa watu wasipopewa rushwa haki hakuna
 
Back
Top Bottom