Lindi: Selemani Matola (53), ahukumiwa kifungo cha maisha kwa kumnajisi Mjukuu wake

BABU (MZIZI) UNATEMBEA NA MTOTO(TAWI) WA MTOTO WAKO(SHINA)? HII NI LAANA
NINGEKUWA HAKIMU NINGEKUONGEZEA KIFUNGO, KWA KUMSINGIZIA MTU WA WATU, IBILISI
 
kabisa aise,nasikia kuna familia zinamalizaga chini chini kesi kama hizi
Sana kwa vile mwisho wa siku wanaona wanamharibia CV mtoto husika iwe ngumu kuolewa baadaye. Na pia kama muhusika was kiume ndiye mwenye uchumi wa familia. Watajilaumu atakapofungwa baadaye huko.
Hizo factor mbili wanaona isiwe kesi
 
Mahakama ya hakimu mkazi wilaya Lindi imemuhukumu Selemani Matola (53) mkazi wa Halmashauri ya Mtama kifungo cha maisha gerezani baada ya kukutwa na hatia ya Kumnajisi mjukuu wake mwenye umri wa miaka 8

Inadaiwa kuwa mshatakiwa huyo alifanya tukio hilo Disemba 17,2021 usiku wakati mkwewe amehudhuria sherehe za ngoma za kuwaaluwa watoto wa kaka yake, mkewe aliporudi alimkuta mume wake akiwa amelala usingizi mzito na mjukuu wao wakiwa uchi wa mnyama na alipowafanyia ukaguzi akabaini mbegu za kiume zimeweka michilizi kwenye mapaja ya mjukuu wao hali iliyomlazimu kuita majirani na kutoa taarifa kwa uongozi wa Serikali ya kijiji na hatimae Polisi.

Aidha mshitakiwa alidai iwapo atapewa adhabu kali kutaifanya
familia hiyo ikose huduma yake ya matunzo huku akidai Ibilisi wa
mapenzi alimshawishi kufanya kitendo hicho.
Nikasema ile Timu imeanza mambo gani? Juzi wamekimbia senene ,Leo Tena Seleman Matola
 
Hii hukumu imekuwa fasta sana. Yaani tarehe 17 Dec 2021 kabaka leo kala mvua... Ila huyu mzee, katoto ka miaka nane kweli? Halafu eti shetani wa mapenzi, dah, aende huko akakae na shetani vizuri
 
Kuna clip moja niliona, mzee miaka 60 anakula katoto ka miaka 13, kanampelekeaga karanga af zee linamaliza juu kwa juu... ukichek lile zee lina bonge la dushee... ukicompare na kale katot dahh
Hapa ndiyo utakapoona kwamba wanyama kama mbwa, mbuzi etc wana akili kuliko binadamu linapokuja swala la sex.
 
Back
Top Bottom