Nyalumana originally
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 408
- 1,313
Imenikumbusha jengo la mzee lilivoungua Mwanza pesa ikaungulia kwenye ndooo na madumu
Imenikumbusha jengo la mzee lilivoungua Mwanza pesa ikaungulia kwenye ndooo na madumu
Chanzo cha uharibifu wa soko la korosho lilianzia kwa bwana "yule" alipoingilia soko la korosho kwa kupiga marufuku makumpuni yaliyo kuwa yananunua korosho Hadi kuwatishia wabunge waliomshauri kuwa hata ataweza ku "deal"na shangazi zao.
Wasiziteketeze wapeleke kwa wale wanaoandaa vyakula vya mifugo.Mkuu wa mkoa wa Lindi Zainabu Telack alipokuwa kwenye kikao cha utekelezaji wa mpango wa kuboresha usimamizi wa huduma za ugani kwa wakulima wa korosho katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma na Pwani ameagiza kuteketezwa kwa korosho tani 24 zilizopo ghala kuu la Mtama, lililopo halmashauri ya Mtama wilayani Lindi.
Hayo yamejiri baada ya Korosho hizo kupelekwa kwenye ghala kuu la hazina zikiwa na Grade One na Grade Two na baadae zikapoteza ubora na kushindwa kuuzika kwenye minada.
Sambamba na hilo Telack amewataka wakurugenzi wa halmashauri zote mkoa wa Lindi kuwawezesha maafisa ugani ili weweze kuwasaidia wakulima kwenye zao la korosho.
Tembelea www.mashujaafm.co.tz kusoma habari mbalimbali #sisipamojanawe.
#mashujaahabari
Mbona sielewi, kama zimepoteza ubora si wauze kwa wanaotaka hrade ya chini? Au ndio kutafuta rushwa?Mkuu wa mkoa wa Lindi Zainabu Telack akiwa kwenye kikao cha utekelezaji wa mpango wa kuboresha usimamizi wa huduma za ugani kwa wakulima wa korosho katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma na Pwani, ameagiza kuteketezwa kwa korosho tani 24 zilizopo ghala kuu la Mtama, lililopo halmashauri ya Mtama wilayani Lindi.
Hayo yamejiri baada ya Korosho hizo kupelekwa kwenye ghala kuu la hazina zikiwa na Grade One na Grade Two na baadae zikapoteza ubora na kushindwa kuuzika kwenye minada.
Sambamba na hilo Telack amewataka wakurugenzi wa halmashauri zote mkoa wa Lindi kuwawezesha maafisa ugani ili weweze kuwasaidia wakulima kwenye zao la korosho.
Chanzo cha habari Mashujaa FM
Ni mwaka sasa tangu mama aanze kufungua nchi!Meko ndio ameua zao la korosho na watu wanamsifia tu
Na vipi mama mwaka unaisha huu hajazifungulia nchi?Chanzo cha uharibifu wa soko la korosho lilianzia kwa bwana "yule" alipoingilia soko la korosho kwa kupiga marufuku makumpuni yaliyo kuwa yananunua korosho Hadi kuwatishia wabunge waliomshauri kuwa hata ataweza ku "deal"na shangazi zao.
Makampuni yote yaliondoshwa na tukaambiwa kila mwananchi anaunue japo kg 1 korosho zote zitakuwa zimeisha.
Duh...Mkuu wa mkoa wa Lindi Zainabu Telack akiwa kwenye kikao cha utekelezaji wa mpango wa kuboresha usimamizi wa huduma za ugani kwa wakulima wa korosho katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma na Pwani, ameagiza kuteketezwa kwa korosho tani 24 zilizopo ghala kuu la Mtama, lililopo halmashauri ya Mtama wilayani Lindi.
Hayo yamejiri baada ya Korosho hizo kupelekwa kwenye ghala kuu la hazina zikiwa na Grade One na Grade Two na baadae zikapoteza ubora na kushindwa kuuzika kwenye minada.
Sambamba na hilo Telack amewataka wakurugenzi wa halmashauri zote mkoa wa Lindi kuwawezesha maafisa ugani ili weweze kuwasaidia wakulima kwenye zao la korosho.
Chanzo cha habari Mashujaa FM
AiseeKwa watz kunakisicholika kweli
Huyo mkuu amesema tu zichomwe badae wapige hesabu namna ya kugawana mzigo
Kiongozi unaamini huo mzigo kibongobongo utachomwa kweli 😃😃😃Aisee
Tani 24 nyingi sana kuchoma...labda 3.Kiongozi unaamini huo mzigo kibongobongo utachomwa kweli 😃😃😃
Yap kama wale wa madawa wanavyochomaga liveTani 24 nyingi sana kuchoma...labda 3.
Kuamini waweke kamera zokichomwa.
Korosho ni zao la chakula? Hakunaga biashara holela, regulation ni lazimaKwenye suala la korosho,
Serikali yetu ilishafeli na inaendelea kufeli.
Hii biashara walitakiwa waiche ijiendeshe yenyewe Kama yalivyo mazao mengine ya chakula.
Ni kweli, Ila tatizo nao Hawa wa sasa Ni waongo. Maana nape alisema sasa hivi kwenye korosho mambo Safi, wakaja chawa huku wakamwaga kila aina ya sifa.Maamuzi ya wakati ule wa yule jamaa ndio yalichangia kuharibu hizo korosho
Kwanini zisingeuzwa kwa wabanguaji wa ndaniMkuu wa mkoa wa Lindi Zainabu Telack akiwa kwenye kikao cha utekelezaji wa mpango wa kuboresha usimamizi wa huduma za ugani kwa wakulima wa korosho katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma na Pwani, ameagiza kuteketezwa kwa korosho tani 24 zilizopo ghala kuu la Mtama, lililopo halmashauri ya Mtama wilayani Lindi.