Lindi na ifakara mfano wa kuigwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lindi na ifakara mfano wa kuigwa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kashaijabutege, Nov 3, 2010.

 1. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Lindi Mjini na Ifakara ni mfano wa kuigwa. Vilevile vyama vya upinzani vimeonyesha wazi kuwa vina sera za kuwajali walemavu. CCM wao wanaona walemavu ni watu wa kupewa ubunge wa mezani, yaani viti maalum. Upinzani unawawezesha na kuwathamini ili wakagombee majimboni.

  Pole Regia Mtema wa CHADEMA kwa kuporwa ushindi wako na 'Orijino Komedi' Abdul Mteketa. Wewe bado kijana usikate tamaa.

  Hongera Barwan wa CUF. Wewe uwe dira na uwashauri walemavu wengine kuwa CCM haina dhamira ya dhati ya kukomesha mauaji ya albino. Aliyoyasema mpinzani wako, si yake binafsi, bali ni mawazo ya wana CCM walio wengi. Lugha sio kwamba 'alibino ni wasahaurifu', bali 'Watanzania ni wasahaurifu'. Kamwage cheche bungeni.:israel::israel::israel:Barwan :sad::sad:Regia.
   
Loading...