Lindi: Mwalimu ahukumiwa kwenda jela miaka 357!

Kesi ya mauaji haina dhamana,mbona ditopile alipewa dhamana?tanzania ukiwa mwana ccm sheria inakua chini yako
 
Mi nimepata wenge! Ngoja niongeze ndovu nyingine labda nitaelewa!
 
Wadau,
mtu huyu anahitaji sana msaada wa kisheria,asaidiwe aweze kuwa huru.Hukumu iliyotolewa haikuwa na haki.Hii haina tofauti na ile ya Kasanga_Sumbawanga kwa hakimu kumuhukumu mbwa kwa kuwa aliitwa "immigration" wanasheria wa jirani na eneo la tukio angalieni namna ya kumsaidia mwalimu huyo.
 
Mmh... Aliyeanzisha hii thread a scan vizuri hilo gazeti ili tweeze kufahamu sababu halisi za kufungwa miaka yote hiyo! Mbona kuna wezi wakubwa sana bado wanapeta mitaani? Wengi viongozi wa siasa !
 
Back
Top Bottom