Lindi: Mwalimu ahukumiwa kwenda jela miaka 357!

Au AMEBAKA WATOTO WA DARASA LA KWANZA WOTE? Inawezekana KAWAIBIA BIKIRA ZAO..
 
Hukumu ikifika kwa mapapa tu,itifaki inazingatiwa,tume zinaundwa,wakati akina Luhanjo wametulia tuliiii,hao wanaitwa V.I.P.
 
Ni gazeti gani hili jamani? Mbona kama gazeti la tokea enzi za kabla ya Uhuru!
attachment.php
 
Huyu mwalimu hajatendewa haki kabisa mbona kama ni hivyo je, wanaokula nchi yetu mbona tunawaona mitaani wakivijali maisha bila kuchukuliwa hatua zozote leo hii mwalimu anapewa miaka 357 labda jamani ni siku wala si miaka?
 
wanachekesha sana hawa jamaa, hivi kaiba shiling ngap mpaka wamhukumu miaka mingi kias hicho.Ninaomba kuuliza kwamba hiz sheria zinafanya kaz kwa watu wa ngazi za chin tu na kwa hao wakubwa akina Jairo hazifanyi kaz? huu ni ujinga usioohitaj hata toch ili utambue ni ulimbuken. Lyumba aliiba million zaid ya 200 akafungwa miaka miwil huyu sijui kaiba laki tatu lakin kapigwa miaka zaid ya mia tatu kuna haki hapa kweli. hii nchi siku tukianza kutafuta haki kwa njia ya upanga wallah haitakalika tena
 
Umejifunza nini kwenye hukumu hii na nyingine nyingi za aina hii? usidokoe, iba hasa.
 
ujinga mtupu huu kwani mahakama ni ya CCM?
ningekuona wa maana kama ungesifia adhabu hii itolewe
kwa wagamba na mapapa sugu kina chenge mramba,yona na wengineo
CCm mnajiineemesha kwa wizi huku mkiwakamata vidagaa haingii akilini.
unaweza kuthibitisha CCM imehusikaje na hii hukumu hadi usifie CCM?
 
daah nimacho yangu au mbona siamini??????? unamanisha mika mia 357, au siku 357???????,ukwweli kunahitaji mabadiliko makumwa juu ya mfumo wa uongozi wa serikari kwa ujumula,samahani mimin si mwana mwanasharia lakini kwa adhabu hiyo bado nina walakini?kamahuyo hakim aliye simamia hukumu hiyo ametenda haki,jamiani nalalamika hivi kwakuwa namimi ni mwalimu.NAOMBA KUTOA TAMUKO KWA WAALIMU WOTE TUNAHAJAQ YA KUUNGANA NAKUTETEA HAKI ZETU PAMOJA NA KUTOTE NDEWA KHAKI KAMA HIZI TUNAZOONA ZIKIFANYIKA SASA. nawasilisha
 
Mapapa wana hela and are well connected to the systme through their heavy contribution to the Party!!! Huyu dagaa mchanga yaye ana nini mpaka atambuliwe. Kwa magamba mkono mtupu haulambwi!!
 
Mungu atamsaidia katika hilo bila kujali makosa aloyatenda,maana bwan alisema hakuja kutafuta watu wema bali wenye dhambi ili wapate kutubu.na mwisho kwa kuwa hatuko tayari kwa kukosa maarifa hakika wana wa Adam ambao wamefungwa zaidi ya makosa walotendwa,waliofungwa kwa kubambikiwa kesi hakika watakuwa huru pidi mkombozi wa kweli atakapokuja,na hii ndio maana tunazidi kuhamasisha wapenda nchi,wapenda amani na wazalendo wa kweli tuunganisheni nguvu tuikomboe hii nchi.na njia iliyo bora hakika hadi sasa ni CDM.tuungane na viongozi,tuungane sisi sote kwa umoja wetu,bila kujali unyonge wetu nas mwisho tutakuwa huru na minyororo ya dhuluma,ya uonevu,ya utumwa na ukoloni mabo leo ambao leo tunafanyiwa na watanzania wenzetu,na wakati mwingine wakishirikiana na wageni,hakika tutajikomboa.Ikumbukwe Paulo na Sila waliomba na milango ya gereza ilifunguka,na sasa huu ndio muda wa kuomba na kufanya harakati za ukombozi wa taifa hili tujikombowe.
Hakika inauma sana kama kweli kina Jairo,kina Chenge na tuhuma zao,kina Zombe na tuhuma zao za kuua watu kwa sababu ya pesa,wezi wa EPA,na panya wooote waliodhihirika katika halmashauri hawakuiba ama vifungo vyao ni kama alichopata Liumba,basi ni vema nguvu ya umma itumike at anytime nchi hii ikombolewe.
 
Yule mbunge wa Bahi ataendelea na ubunge kama mahakama itamhukumu si ziadi ya miezi 6

Sheria zetu nzuri sana
 
Ahaa ebu ngoja kidogo ..... HIVI HIZI MAHAKAMA ZA MAHAKIMU WAKAZI ZINARUHUSIWA KISHERIA KUHUKUMU MIAKA 350! ahaa machale yamenicheza hii kesi ina namna, TAKUKURU fatilieni hiyo kesi kwa undani, kuna mtu anakomolewa au kitu kidogo kimetembea apo!
 
Back
Top Bottom