Lindi: Mwalimu ahukumiwa kwenda jela miaka 357!

Imeandikwa msihukumu msije kuhukumiwa nyie

Huyu mwalimu tutamtoa 2015 pindi wanyonge tutakapochukua nchi na wanaopitisha hukumu za hivi mauti kwao,a deadly punishment!
 
This is onother curse eating justice and killing ccm. Small fishes are punished heavenly while the bigger are left to enjoy life and consume squandered public resources luxirously. God of mercy rescue our country!

Hapo kwenye Red hapo mkuu, unamaanisha wanaadhibiwa mbinguni ama?
The unseen is illustrated by the seen.
 
Mnawahukumu vidagaa vichanga wale ma PAPA NYANGUMI mnawaachia wanapeta urainani halafu mnajishabikia kuwa mnatenda haki.... raha ya msumeno ukate kotekote sio upande mmoja kama kisu
 
Wezi wa kuku wote funga maisha, Mafisadi na wezi wakubwa wakifungwa jela nchi itayumba so waacheni watambe kwa usalama wa nchi yetu!

Mungu na waungwana
Shetani na wahuni
 
Kama vipi kukiwa na msamaha wa Raisi atolewe tu kwani kaonewa sana ukilinganisha na kina CHENGE, MAIGE, na wengine wote. Sidhani kama wizi wake umezidi wa hao wengine, hii yote inaonekana ni uonevu tu, ingekuwa na wezi wengine wameshughulikiwa kwa mtindo huu huu tusingelalamika.
 
Unahangaika kwa kufukuza kuku wa kisasa! Kama mnaweza anzeni na:-

Chenge, Richmond walohusika wote mfano baasha kosa lake siwajui nawajua, kiwila, reli,bandari, epa, kagoda, melemeta,stimulate packages, panya kwenye halmashauri, mawaziri, iptl, rada pamoja na dege la rais, mapanki, korosho, powertiler, bot, safari za rais, vocha kilimo, tbs, atc, nyumba za serikali, pamba,utalii, madini, misitu, mauaji ya raia, wizi kura, mikataba yote mibovu nk.

CHADEMA TEGEMEO LA WANYONGE

ambulance za miguu mitatu,teh, teh, teeeeh!
 
sio mbaya! lakini vp hukumu za mauaji ya ALIBINO ni waTZ wenzetu, sikuambii wezi wa dhaabu! pole huenda uwezo wako ndo huo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom