LINDI: Magunia 375 ya Korosho yakamatwa yakisafirishwa kimagendo kwenda Dar

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,563
21,665
Magunia 375 ya korosho yamekamatwa katika eneo la Mnazi Mmoja Manispaa ya Lindi mkoani Lindi yakisafirishwa kwa magendo kuelekea jijini Dar es Salaam ambapo watu kadhaa wanashikiliwa na polisi kwa uchunguzi zaidi.

Akiongea na Waandishi wa habari ofisini kwake Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi amesema kuwa gari hilo lenye namba za usajili namba T 395 APU, lilikuwa likisafirisha korosho hizo kwa kutumia nyaraka bandia baada ya afisa kutoka bodi ya korosho kubaini nyaraka hizo ni za kughushi.
 
Habari za kwetu kusini ni korosho na gesi tu hakuna la maana, wenzetu wanaibua matatizo ya watu wao hadi watawala wanapandwa jazba
 
Back
Top Bottom