Lindi: Jumla ya Runinga 288 zakutwa chooni Bandarini Kilwa

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Habari wanaJF,

Katika hali ya kutisha na kuoghofya leo mkuu wa Wilaya ya Kilwa Abdallah Njwayo akiwa kama mkuu wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya hiyo kwa kushirikiana na jeshi la polisi limekamata shehena ya Luninga (TV) 288 flatscreen zilizofichwa chooni katika bandari ya Kilwa Mkoani Lindi kukwepa kodi. Pia imeripotiwa kuwa imekuwa ni kawaida ya askari kufungia mara kwa mara katika choo namba 4 na namba 3.

Hiyo imejulikana baada ya mkuu wa wilaya kumuoma kaimu meneja afungue na hii imejulikana kuwa ni kawaida ya askari kuiiba mizigo ya watu na kusubiri hali itulie kisha wanaenda kuiuza.

Hii ni katika muendelezo wa juhudi za serikali katika kupambana na wanaokwepa kodi, pia yawezekana Luninga hizo kuwa feki au zilizokwisha tumika sana yaani Mitumba.

Tazama Video hii
:
 
Wakisikia jina la Magu ????. Hongera sana DC umeanika jambo ovu sana ktk jamii. Hili halijawahi kuandikwa popote.

Nchi ya Vitukoz ni skuli kwa Duniae nzima, waje hapa wajifunzei
 
Back
Top Bottom