Lindi High School

Averos

JF-Expert Member
Aug 6, 2010
993
695
Wadau natafuta wanafunzi waliosoma lindi high school hususan kuanzia mwaka 2001. Karibuni tukumbushane yaliyojiri kipindi hicho.
 
Mi nilikuwa na kina dito, luhende alikuwa headboy, unawakumbuka?

Mi nlikuja pale Juma (mfupi ivi alikua anapenda sana kubeba nondo) ndo alikua hdboy luhende simkumbuki dito si yule aliyekua mtoto wa ditopile? Kama ni huyo nampata tho nlikuta kashamaliza alikua anakujaga sana pale cz walikua na nyumba twn
 
Yah, dito ambaye babake alikuwa RC lindi.
 
Mi nilikuwa na kina dito, luhende alikuwa headboy, unawakumbuka?

ha ha ha! Nimekumbuka mbali sana, we ulikua tolaboro au bruclean?, kumbuka baba kwame?, baba Dame...? Nilimalimaliza pale 2004. Bonge ya camp
 
unamkumbuka Mwl Dulle?alikuwa displine master.

dah umenikumbusha huyo msela, mara kwa mara alikuwa ananishika makosa na ku2ngua maembe. Pale kwake kuna mama ntilie anaitwa mama aziza. Those days wazee wa kupanda malori kkoo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom