Lindi: Aliyemuua mke wake bila kukusudia ahukumiwa kusafisha hospitali

Siku zote kuua,sio kwamba unakua umedhamilia... Ila nitukio ambalo hutokea tu,pindi unapokutana na kioja ambacho hukutegemea kabisa....

Mfano unaenda shabani kwako,shamba limesheheni mazao kama mahindi,unaona mahindi yako yacheza cheza,unajua kabisa Nyani atakua anakula Mahindi yako,kwa hasira na ghazabu,unarusha rungu lako,kumbe sio Nyani ni watu wanagegedana,rungu linatua kwenye kichwa cha wanaume nakufa papo hapo...

Sasa hapa unakua umeua bila kukusudia...

Lakini umeona mke wako analiwa,then unaenda chukua jiwe,unarudi,unamtwanga nalo mgoni wako,hapo Babu unaenda kula kitanzi,maana yake ulipata mda wa kwenda kujiandaa,nakutafuta kitu chakuweza kufanyia hayo mauwaji yako... Nahisi ndo kilichomkuta huyu baharia
 
Kwa kesi kama hizi vifungo kama hivi ni sawa tu..usaliti wa mapenzi unamfanya mtu kuwa mnyama kabisa na kusahau utu kiufupi akili zinaondoka kabisa mapenzi yanauma sana.....Nilishuhudia mwaka fulani kigamboni jamaa alimsomesha mwanamke tangu form one kijijini huko mpaka chuo kabinti kalipomaliza degree kakamletea nyodo jamaa akamwambia ana mwanaume mwingine yeye hamtaki alichokifanya jamaa akakubali kiroho safi pia akamuita binti lodge ili wafanye mara mwisho mwisho,binti alipoenda tu kumbe kafuata kifo maskini jamaa alimchomeka mibisu ya tumbo utumbo,maini,firigisi vyote nje halafu jamaa akawa anakula vile vitu..mpaka polisi wanapewa taarifa wanafika eneo la tukio jamaa bado anabugia maini mabichi mabichi na tena akawaambia "Niacheni nimalize kula tutaondoka kiamani kabisa" polisi ilibidi wakae pembeni mshikaji alipotosheka akatoa mikono yake akasema nifungeni pingu sasa mnaweza kunichukua...kesi ikaenda wee jamaa akafungwa kifungi kama hicho cha nje miezi kadhaa tu...mademu washamba wanazingua sana wakifika mjini malimbukeni sana yaani..
Kusomesha ni.kazi ya mzazi kidume unachukuaje jukumu.la mzazi? Ukifikia umri wa kuoa tafuta aliye tayari kuolewa mbona wako kibao tu huyo wa kusubiria miaka SI sahihi.Huyo Kijana mimi.ningekuwa jaji ningemhukumu kunyongwa.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom