Linda Doyle Mwanamke alieua Mume wake kisha kujichoma kisu ukeni kudai alikua anabakwa hivyo aliua katika kujitetea

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,320
Dunia haiishi vituko. Huko Alabama, Marekani mwanamke anaelitwa Linda Doyle alimuua mume wake mwaka jana 2019 na kisha kujichoma kisu ukeni na kusema mumewe alikua anambaka hivyo alimuua katika hali ya kujitetea.

Waendesha mashtaka wamesema baada ya Linda kumuua mume wake alichukua kisu na kujichoma ukeni ili ionekane kua mumewe alikua anambaka.

========


Alabama woman accused of killing husband in bizarre attack​


Nelson Oliveira

An Alabama woman charged in the 2019 killing of her husband stabbed her own vagina after the murder so she could falsely claim self-defense, prosecutors said this week.

Linda Doyle, 66, was arrested Tuesday after a Baldwin County grand jury returned an indictment against her following a year-long, “thorough investigation” into the case, police said in a news release.

But the woman claims she shot her husband dead because he had attacked her during an argument “over sexual demands,” local news station WKRG reported.

“She was attacked, stabbed multiple times in the vagina with a butcher knife, managed to get out of bed, retrieve a pistol that was in the home for self-defense, and then managed to shoot and kill her assailant, which was her husband,” defense attorney John Furman reportedly said.

Linda Doyle charged in the 2019 killing of her husband, stabbed her own vagina after the murder so she could falsely claim self-defense.

Linda Doyle charged in the 2019 killing of her husband, stabbed her own vagina after the murder so she could falsely claim self-defense. (Baldwin County Sheriff's Office)

Prosecutors disagree, claiming Doyle stabbed herself in a wild attempt to avoid prosecution.

“Based on the evidence that has been recovered at this time, we don’t believe that Mr. Doyle inflicted those,” said Patrick Doggett, an assistant district attorney prosecuting the case, according to WKRG.

The killing happened on July 30, 2019, in Foley, about 40 miles southeast of Mobile.

Doyle was released on bond Wednesday pending a Jan. 15 court appearance.

[/URL]
 
Huyo dada atakuwa anamatatizo ya akili sio bure. Kujichoma kisu ukeni sio mchezo.
 
Kuna mwingne alimkata na shoka adi aliua sasa ile hasira aliendelea tu kukata hakujua kua tayari kaua watu wanafika wanamkuta anaendelea kukata tu
 
Leo binaadamu kala samaki hautoona comment za kumtetea huyo samaki

Ngojea sasa siku samaki amle binaadamu uzi wote utajaa ma-feministy
 
Back
Top Bottom