kido madini
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 223
- 144
Kuna harufu wakuu inanukia nchi ya kusadikika hasa baada ya mkuu wa nchi ile kuanzisha utambulisho kwa ajili ya walalahoi nia ilikuwa njema ila sasa yawezekana kikawa chanzo kipyaaaa kilichokuja kuwa kero maana yasemekana kuwa hadi wauza karanga za kutembeza mtu anamtaji wa elfu 3 hahaa mtukufu fundi bwana hahaa ila kingine cha kushtua ni kuwa naskia hadi vibarua wa mashambani nao wanapaswa kuwa na vitambulisho
Hili suala kwanza nchi ile haina elimu ya kutosha kuhusu kodi pia limekuja kama kero kwa wa nchi ile ya kufikirika
Pili wanaoratibu zoezi lile kwa maana ya watendaji wa chini wanapaswa kutumia tumishahara twao kuratib zoezi hilo na
Na nasikia na kodi ya kichwa ipo njiani maana naskia raia wa nchi ile kila mtu anadaiwa zaidi ya milioni 1.1 twafaaa