Lile shindano la EBSS la madam Ritha limeishia wapi?

Othmorine

JF-Expert Member
Jul 25, 2014
691
1,000
Habari zenu wakuu,

Mimi nilikuwa mshabiki wa kutupwa wa hili shindano la kusaka vipaji vya kuimba hapa bongo,Epiq Bongo Star Search (EBSS).Ambalo lilikuwa likifanyika kila mwaka.Lakini nashangaa mwaka huu kimyaaa....vipi kulikoni?!!
Mwenye taarifa kuhusu jambo hili tafadhali naomba atujuze.
 
Nanaa

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
5,905
1,225
Alivyoachana na Mr Machache akalihamishia Tbccm....sasa kule ndo alikoenda kuliua...Siku ya kipindi wenzake wanamuwekea kipindi cha nyuki wetu, Mara Barbara zetu... yani ili mradi ratiba haieleweki....

Ila siku za karibuni nliona lile tangazo LA fungua njia kitoto chaanza tambaaa....tusubiriii subirii....
 
Ndo kusema kwishnei ama nini?!
 
bona

JF-Expert Member
Nov 6, 2009
3,801
1,250
hili shindano halikuzalishwa out of talent ya huyu mama, huyu mama alipewa shavu tu kwa sababu alikua analiwa na mzee mengi, baada ya kuondoka sasa kule tbc ili afanye kazi kikweli kweli alihitaj kua creative ndo hapo shida ilipokuja!!!
 
Othmorine

JF-Expert Member
Jul 25, 2014
691
1,000
hili shindano halikuzalishwa out of talent ya huyu mama, huyu mama alipewa shavu tu kwa sababu alikua analiwa na mzee mengi, baada ya kuondoka sasa kule tbc ili afanye kazi kikweli kweli alihitaj kua creative ndo hapo shida ilipokuja!!!
Kwahali hiyo sasa huenda kuna mizengwe aliyowekewa huyu mama ndo maana shindano limemshinda?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom