Lile Jukwaa la wachumi lilianzishwa mbona kimya sana

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,225
Katika miaka 2 au 3 iliyopita...Kulianzishwa jukwaa la wachumi..Mh Mpango alizindua

Kwa nini hawajawahi kukutana na kujadili changamoto au mjadala kuhusu uchumi?

Au wana hofu?
 
Hakuna uchumi unajadiliwa na serikali hii maana yenyewe ina majibu yake. Hao wachumi walienda wakakuta ni jukwaa la kumsifu jiwe wakaamua kuendelea na shughuli zao
 
Ndo uchumi anaoujua
IMG_20190315_133814.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom