Lile Jambo kutoka kwa Rais Samia ni Leo, tega masikio yote mawili

Hotuba yake UN, inanifanya nisitarajie Jambo serious. Japo natamani aridhie Katiba mpya na demokrasia ndio Jambo kubwa kwa umoja na ustawi wa taifa letu.
Wapo wanaosema JK anam control, wakati kiuhalisia Samia ni copy ya kike ya JPM, wala hafananii JK leadership style, labda wanafanana kwenye uzembe wa kusimamia watumishi wa umma tu
 
Tuliopo Idindilaumunyo yametupita, vipi kwani amepata shinikizo juu ya hayo mambo mawili?!!!
 
wananchi tunataka maendeleo sio katiba,
katiba wanataka wanasiasa.
Katiba sio hitajio la wananchi.

mwaka 2010 Kenya iliandika Katiba nzuri na bora lkn hadi leo 2021 bado haijatatua changamoto za wananchi, South Afrika vivyo hivyo n.k.
hivyo katiba sio mwarobaini.
kazi iendelee hadi 2040.
Wananchi wewe na nani?
 
Embu Fanya utafiti hapo mtaani kwako.
Maza hana mvuto watu wanamchukia sana mitaani huku tanganyika.
Jana tulikuwa sehemu tukawa tunadiscus hii ishu
Wananchi wanamchukia Sana huyu maza nahisi ni haya mambo ya tozo , na pia kauli zake za kibaguzi kijinsia , na kuonekana amekaa kizanzibari zaidi,
Mbona Magufuli alikaa kikatili na kikabila sn kuliko MARAIS wote EA lkn alishindwa kujua yy ni mwanadamu anapita tu katika mamlaka aliye pewa.
 
Tuna imani na Samia, hali mradi yule shetani yupo kuzimu, tumpe ushirikiano mama.

Dosari yake kwangu ni kuingizwa mkenge kesi ya Mbowe tu, lakini muda anao wa kurekebisha na DPP kamteuwa yeye.
Mtu anayeruhusu kuingizwa mkenge bado una imani nae tu? hatujui kesho na kesho kutwa ataingizwa mkenge jana.
 
Bwana Yesu asifiwe wapendwa.

Kama tulivyokwishatangaziwa na Mwenezi wa CCM komredi Shaka kuwa leo Rais Samia atakuwa na jambo letu.

Tega sikio hapa hapa bwashee.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Jambo gani ccm haijawahi kuwa serious, labda atuambie jinsia ya kike ndo raisi
 
Kama umemsikia Waziri was fedha Rais ametosha Sana na kuweka historia Tzn..

Mungu ampe mda Mrefu zaidi tutapata Neema.
 
Bwana Yesu asifiwe wapendwa.

Kama tulivyokwishatangaziwa na Mwenezi wa CCM komredi Shaka kuwa leo Rais Samia atakuwa na jambo letu.

Tega sikio hapa hapa bwashee.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Mama amepoteza ushawishi kwa kiwango cha kutisha sana !
 
Bwana Yesu asifiwe wapendwa.

Kama tulivyokwishatangaziwa na Mwenezi wa CCM komredi Shaka kuwa leo Rais Samia atakuwa na jambo letu.

Tega sikio hapa hapa bwashee.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Mpaka Sasa hujapata hilo Jambo? Au ndo huu utopolo wa mkutano wa Chama cha makulaji?
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom