Kila Mbongo
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 296
- 393
Sisi huku kwetu hakuna!Embu Fanya utafiti hapo mtaani kwako.
Maza hana mvuto watu wanamchukia sana mitaani huku tanganyika.
Jana tulikuwa sehemu tukawa tunadiscus hii ishu
Wananchi wanamchukia Sana huyu maza nahisi ni haya mambo ya tozo , na pia kauli zake za kibaguzi kijinsia , na kuonekana amekaa kizanzibari zaidi,