Lil Ommy siyo mjanja...Mshamba anaye brag brag tu..!

Agizachochote

Member
Sep 29, 2020
34
464
Omari Tambwe aka Lil Ommy kiukweli anacheza chini ya kiwango sana. Show za mchana zina taka presenter mwenye swaga ..mjanja mjanja.

Omari siyo mbunifu.. Hajui hata kuvaa.. Anavaa utadhani yupo ofisini ya serikalini au misikitini.. Acha brag brag.

Bado combination ya Adam, b12, fatuma na ncha kali haijawahi kutokea.!! Ommy ni overrated tu.. Jonijo yupo vizuri sana... Si umeona kipindi lao empire na twelve linavyo songa.

Sina chuki na Ommy sema jamaa inabidi akae kijanja siyo kifaza.
Ommy mzuri interview kwa wasanii tu ila kwa afternoon show hamna kitu pale.

Screenshot_20210305_084021.jpg
 
Omari tambwe aka Lil Ommy kiukweli anacheza chini ya kiwango sana. Show za mchana zina taka presenter mwenye swaga ..mjanja mjanja.

Omari siyo mbunifu.. Hajui hata kuvaa.. Anavaa utadhani yupo ofisini ya serikalini au misikitini.. Acha brag brag.

Bado combination ya Adam, b12, fatuma na ncha kali haijawahi kutokea.!! Ommy ni overrated tu.. Jonijo yupo vizuri sana... Si umeona kipindi lao empire na twelve linavyo songa.

Sina chuki na Ommy sema jamaa inabidi akae kijanja siyo kifaza.

Sina
Mzigo unaingia mwisho mwezi na deals za kutosha pembeni,hao walio mwona wanatosha kwani huwezi kupendwa na kila mtu.

Halafu why now,mbona kipindi kile alivyo kuwa Times Fm sikuzisikia hizi lawama au labda kwa kuwa sasa yupo Wasafi fm?
 
Omari tambwe aka Lil Ommy kiukweli anacheza chini ya kiwango sana. Show za mchana zina taka presenter mwenye swaga ..mjanja mjanja.

Omari siyo mbunifu.. Hajui hata kuvaa.. Anavaa utadhani yupo ofisini ya serikalini au misikitini.. Acha brag brag.

Bado combination ya Adam, b12, fatuma na ncha kali haijawahi kutokea.!! Ommy ni overrated tu.. Jonijo yupo vizuri sana... Si umeona kipindi lao empire na twelve linavyo songa.

Sina chuki na Ommy sema jamaa inabidi akae kijanja siyo kifaza.

Sina
Unamshauri nini Lil ommy
 
lil ommy ndo presenter mkali bongo yeye pamoja na jabir saleh.lil ommy ana full details ya wasanii na muziki kiujumla.lil ommy ndo aina ya presenters wanaohitajika kwenye game.mwanangu lil ommy keep the fire burning usiwasikilize mawack.au unataka aanze pigo za kishoga ndo umuone mkali.acha chuki mzee
 
Wewe tena kwa hiyo mbwiga kwa sababu yupo Wasafi ila alivyo kuwa Times hakuwa mbwiga.

Kweli anaye kuchukia mara nyingi hana sababu.
Mkuu mchezaji anaweza akatamba ligi za mchangani, ila akipanda za ligi kuu anapwaya

Ukweli ni kua Omy anapwaya
 
Back
Top Bottom