Likoni Mombasa raha

Nguva Jike

JF-Expert Member
Jan 22, 2018
852
1,005
Habari za asubuhi.

Ukibahatika kufika likoni Mombasa kama mtalii utastareheka na vufuatavyo.

1.Gesti shilingi 400 za Kenya Full ac magazeti Simu taulo safii jeupe

2.Wali Nazi maharagwe mboga2 na pande kubwa la jodari la kukaanga lililopakwa urojo mchachu na pilipili Kwa shilingi 100 za kenya.

3.Bajaji shilingi 20

4.Mude mkali Kwa shilingi mia 100 msafiii.

5.Massage inayofanywa na pisi Kali Kwa 200 za Kenya.

Tembea uone
 
JamiiForums-1759311991.gif
 
Nijuavyo Likoni ni kivukoni pale tunashuka na mabasi / Magari yanavuka bila abiria then tunaenda zetu Mombasa
 
Back
Top Bottom