Likoeni jahazi langu....mapenzi yamenikolea, nipo kitandani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Likoeni jahazi langu....mapenzi yamenikolea, nipo kitandani

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by jessetz, Feb 28, 2011.

 1. jessetz

  jessetz Member

  #1
  Feb 28, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ni kijana mwanamume, nina rafiki yangu wa kike tumejuana kwa njia ya mtandao. Tumetokea kupendana sana hatuwezi kabisa kupita muda kidogo bila kuongea. Sikua na mpango wa kumtafuta mtu kwa sasa ila kwa kuwa tumependana niliamua kuipa nafasi, ninaishi nchi za nje na ilipidi nisafiri tuende tukaonane.
  Baada ya kuonana tulilala wote na tulikua na muda mzuri pamoja japo ulikua sio muda mwingi kwa sababu nilitakiwa kurudi mapema.
  Kuna vitu nilimkosea kwa kumdanganya na ilimuumiza sana, nilimuomba msamaha sana na niliwatumia pia watu wazima waliojua uhusiano wetu. Alinisamehe ila baada ya hapo yeye hakua tena na upendo ule tuliokua nao awali, nilimuuliza tatizo haswa ni nini na mbona hivyo!? Hakuweza kujibu na nilimuuliza kama labda kapata mtu au vipi ila amesema yupo single na hajapata mtu ila hajisikii tu kunipenda kama zamani, anakazana lakini haiwezekani. Imefikia muda ikabidi nimpressurize ili nijue ukweli maana nilikua naumia sana, sikujua la kufanya, nilifikia sehemu nipo kwenye stress kubwa....baada ya kufanya hivyo/kum-pressurize alinijibu kuwa kwa sasa anaona awe peke yake na awe na muda wake binafsi, apange maisha yake hivyo mimi na yeye tuachane. Haya yote ni mimi niliyasababisha!
  Nilichanganyikiwa kusikia hivyo maana ninampenda mno, sikujua tena la kufanya. Nilitamani nife ili nisahau yote. Niliugua pressure/stress nikalazwa ka siku moja hospitalini. Ndugu zangu walijua kitu kilichotokea na yeye aliambiwa na marafiki zangu. Amenipigia na kuniambia anavyojisikia na anaomba nipone tujue la kufanya ila zaidi nifikirie maisha. Ameniambia kiasi yeye imemuumiza pia ila bado ameshikilia msimamo wake. Bado sijajua kuwa ni nini hasa cha kufanya. Ninampenda na hii ndio nafasi nilionayo, nifanye nini, nisaidieni kwa mawazo endelevu......mapenzi yameniteka, sijui la kufanya, kwa sasa nipo kitandani naugulia!!:decision:
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ndo uache uongo!Kamlazimisha huwezi..mpe nafasi ikiwezekana ujaribu kurudishia imani aliyokua nayo juu yako taratibu!
   
 3. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #3
  Feb 28, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Ulimdanganya kweli na ukaomba msamaha na kakusamehe....sasa hataki uhusiano,ana sababu zake acha kujihisi wewe ndo chanzo....give her some space/distance afikiri na aamue,pengine kwenye kukukosa ataona umuhimu wako kwake.....ila kwa sasa unamkera tu na kumsumbua...na mara nyingi msichana akifikia kukuambia hivyo ana maanisha......acha kuugua,em kuwa strong......amebaki mwenyewe duniani?kama ulivyokutana nae ukampenda utakutana na mwingine......muache aende akiona unafaa na amekosea atarudi.....ila kama una muda wa kupoteza we mchunguze zaidi,pengine ana mwingine anayempenda zaidi yako!!

  Pole sana ndo maisha haya!
   
 4. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #4
  Feb 28, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hebu dokeza kimoja tu ulichomdanganya ili tujue kweli hiyo ni sababu ya kukutema au alikua anatafuta sababu baada ya kuonana live?
   
 5. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #5
  Feb 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Pole sana mkuu, najua ushauri wangu hautokusaidia sababu mimi pia 'I REAL REAL REAL HATE UONGO' tena sana mwanzoni..... what comes in my mind ni kwamba kama umeweza kunidanganya ukiwa hunijui hivi itakuwaje tukishajuana na kuwa pamoja:A S 13:????? Kwa ninavojua watu wa type yangu.... endelea na maisha yako tu sidhani kama huyo mdada ataweza tena kuwa na wewe!!!!!
   
 6. jessetz

  jessetz Member

  #6
  Feb 28, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yeye kwa sasa anafanya kazi na mimi nilikua namalizia shahada ya kwanza. Nikawa nimemuambia kuwa nipo kwenye shahada ya pili badala ya kwanza. Huo ndio ulikua uongo wangu.
   
 7. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #7
  Feb 28, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  :rain::rain::rain::rain::rain:
   
 8. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #8
  Feb 28, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hapo kwenye red, inawezekana kukawa na ukweli!

  Ila sasa jamani..kama unampenda kihiiivyo mpaka unaumwa, kwanini ulimdaganya??? Pole sana. Cha muhimu, be strong na tulia mwombe Mungu atakusadia!
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Feb 28, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Umedanganya kitu kidogo ila anaweza akawa anachukua tahadhari mapema kwasababu kama kitu kidogo hivyo unadanganya na vitu vikubwa itakuaje!
   
 10. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #10
  Feb 28, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mkuu ingawa uongo wowote si mzuri ila kama kweli hii ndo sababu ya kukutema huyokweli alikua yupo so materialistic, sio love ya kweli,! Mi bado naamini baada ya kukuona tu alibadili maamuzi ndo maana katafuta sababu yoyoe tu ya kukutema!
   
 11. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #11
  Feb 28, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  How are you today Keren? Hope you had a wonderful day!
   
 12. N

  Nalonga JF-Expert Member

  #12
  Feb 28, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Ohh pole sana jessetz,but b strong haijarishi nini kimekukuta life is still goes on ok broda.....mara nyingi sisi binadamu we want what we desire,but Almight God knows what is good for us...just give her some space if she wil come back to u she is yourz if not then she was not your life mate buddy....Take care dude Ur life worth much than Ur Feeling for Her....Msikilize mshikaji R-Kelly katika hii namba, 'WHEN WOMAN FED UP'
   
 13. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #13
  Feb 28, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Hahahahahahaaaa! nimecheka sana jaman ila pole sana kaka angu kwa uzoefu wangu watu wengi wanaowasiliana na watu kwa mtandao halafu wakakutana ana kwa ana kuna vitu either vikufurahishe sana, au vikuboe sana, nahisi ulimboa ingawa wewe ulifurahia sana, sasa lilipotokea hilo la uongo akaamua kutake advantage. kama angekuwa anakupenda kwa dhati sanasana hilo ni kosa dogo sana.
  Ni mawazo yangu tu
   
 14. jessetz

  jessetz Member

  #14
  Feb 28, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwenzako naumia wewe unacheka......leo kwako kesho kwangu! Mapenzi ni kikohozi.......
   
 15. jessetz

  jessetz Member

  #15
  Feb 28, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashukuru ndugu yangu.....naona huu mwimbo unanigusa zaidi
   
 16. c

  chetuntu R I P

  #16
  Feb 28, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hapo kwenye red umelonga
   
 17. MartinDavid

  MartinDavid JF-Expert Member

  #17
  Feb 28, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 876
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Just take it is and move on with your life.. If she had a true feelings on you, she will come back and you will reconsille..

  Other wise if it was just she wanted to spoile you for that nite and that is all.. The stand up and move on.
   
 18. Seto

  Seto JF-Expert Member

  #18
  Feb 28, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 961
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  ulimdanganya kuhusu nini? Maana jambo lenyewe laweza kuwa la kuumiza sana.
   
 19. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #19
  Feb 28, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  I am fine Kimey, and How are you too?
   
 20. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #20
  Feb 28, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,143
  Trophy Points: 280
  We m****e nini , kwanza mmejuwana kwenye mtandao, ukalala nae mara moja tu tena kwa muda mfupi. Bro ulipolalala nae hukumfikisha panapostahili, yaani hukumkuna alipotarajia na vingine vyote ni viji-sababu, hata hilo la kumdanganya ni upoenyo tu aliopatia wa kuchomokea. Achana nae, tafuta mwanamke mwingine mtakao kuwa compatible.

  Wewe hata ukijiua hiyo yeye hana habari nayo, si unajiuwa wewe? yeye imuume nini? au atapata hasara gani kwa kifo chako? au wewe ukijiua una faida kwa jamii?

  Hili jamaa linaonesha ni ile mitoto inayodekezwa sana nyumbani kwao mpaka inafikiri kuwa itadekezwa na duniani pia. Duniani hakuna kudekezana, mpige bakora kisawasawa mwanamke (mfikishe asipotegemea) yeyote yule, uone kama kama hakukuganda kama kupe.

  Pata hivi vitu vya kukusaidia kidogo:

  About Men Who Are To Be Held in Contempt

  Know, O My Brother (to whom God be merciful), that a man who is misshapen, of coarse appearance, and whose member is short, thin and flabby, is contemptible in the eyes of women.
  When such a man has a bout with a woman, he does not do his business with vigour and in a manner to give her enjoyment. He lays himself down upon her without previous toying, he does not kiss her, nor twine himself round her; he does not bite her, nor suck her lips, nor tickle her.
  He gets upon her before she has begun to long for pleasure, and then he introduces with infinite trouble a member soft and nerveless. Scarcely has he commenced when he is already done for; he makes one or two movements, and then sinks upon the woman's breast to spend his sperm; and that is the most he can do. This done he withdraws his affair, and makes all haste to get down again from her.
  Such a man--as was said by a writer--is quick in ejaculation and slow as to erection; after the trembling, which follows the ejaculation of the seed, his chest is heavy and his sides ache.
  Qualities like these are no recommendation with women. Despicable also is the man who is false in his words; who does not fulfil the promise he has made; who never speaks without telling lies, and who conceals from his wife all his doings, except the adulterous exploits which he commits.
  Women cannot esteem such men, as they cannot procure them any enjoyment.

  It is said that a man of the name of Abbes, whose member was extremely small and slight, had a very corpulent wife, whom he could not contrive to satisfy in coition, so that she soon began to complain to her female friends about it.
  This woman possessed a considerable fortune, whilst Abbes was very poor and when he wanted anything, she was sure not to let him have what he wanted.
  One day he went to see a wise man, and submitted his case to him.
  The sage told him: 'If you had a fine member you might dispose of her fortune. Do you not know that women's religion is in their vulvas? But I will prescribe you a remedy which will do away with your troubles.'
  Abbes lost no time in making up the remedy according to the recipe of the wise man, and after he had used it his member grew to be long and thick. When his wife saw it in that state she was surprised; but it was still better when he made her feel in the matter of enjoyment quite another thing than she had been accustomed to experience; he began in fact to work her with his tool in quite a remarkable manner, to such a point that she trembled and sighed and sobbed and cried out during the operation.
  As soon as the wife found in her husband such eminently good qualities she gave him her fortune, and placed her person and all she had at his disposal.


  Sasa endelea huku: The Perfumed Garden Index
   
Loading...