Hivi sheria inatuongoza vipi katika upande Wa likizo bila malipo. kwani kampuni za tours pamoja na mahoteli upande Wa Zanzibar utoa likizo bila malipo kwa miezi 2 kwa kisingizio cha Corona.
Wafanyakazi wengi hawafahamu sheria je inaelekeza nini kuhusu likizo bila malipo na serikali inaweza kutoa mwongozo upi kwa kampuni na hotel kama hizi ili kulinda maslai ya wafanyakazi?