Likitokea hili wakati nafungua video kwenye uzi nifanyeje?

fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
8,377
7,896
Unaangalia uzi fulani, na huo uzi una video, ukiifungua hiyo video unaambiwa view attachment lakini nikikliki haifunguki.

Wadau kwa hapo nifanyeje ili niione hiyo video?
 
Back
Top Bottom