Likifika salama wamshukuru Mungu

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,754
1416965131524.jpg
 
🎶🎶🎤🎵 halleluya tutaonana * 2 🎹🎻🎼🎺🎷
Familia zao zianze kukodi maturubai
 
🎶🎶🎤🎵 halleluya tutaonana * 2 🎹🎻🎼🎺🎷
Familia zao zianze kukodi maturubai

Najaribu kuhesabu makosa ya baabarani naona ni kama total loss hiyo gari
 
Kwanza wanachofanya hapo huku lori likiwa limesheheni mzigo ni hatari tupu
 
Duh!sasa hao jamaa hApo chini hawana tahadhari kabsaa na huo mti kama ukivunjika je!!!???
 
Halafu wakifa kwa ajali utasikia wanasema ni kazi ya MUNGU, wakati wanajitakia wenyewe
 
Back
Top Bottom