Like a boy, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Like a boy,

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Penelope, Aug 29, 2012.

 1. Penelope

  Penelope JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 654
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 80
  Ingekua vipi kama wanawake wangekua wanafanya mambo kama wanaume like kuchelewa kuja nyumbani,kuzaa nje ya ndoa na kuwaletea wanaume walee kama wanavofanya,kukaa baa mpk sa sita za usiku,etc etc etc
   
 2. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Mind that not all men has this traits, some are exellent to their beloved. Also there are women has this traits you mentioned.
   
 3. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  una maana kwa wana ndoa au concubines?
   
 4. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #4
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Penelope dear... Mbona wapo wanawake wanafanya hivo. What are you trying to say?
   
 5. Penelope

  Penelope JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 654
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 80
  Mh,kama wapo basi its one in a million,
   
 6. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #6
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,056
  Likes Received: 24,060
  Trophy Points: 280
  Hapo kwa red, mbona ndio zenu kwa sana tu? Au hujajua asilimia kubwa ya wanaume wanalea watoto wasio wa damu yao? Chezeya wanawake weye? Najua utabisha kwa kuwa bado hujakua uyaone.
   
 7. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #7
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Samahani kama nitakukwaza, una umri gani na unatokea jamii ipi? Nia yangu tueleweshane na tuende bega kwa bega.
   
 8. c

  christmas JF-Expert Member

  #8
  Aug 29, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 2,607
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  hilo nalo la muhimu coz mbona hzo issue ni commom sana kwenye jamii zetu
   
 9. Fugwe

  Fugwe JF-Expert Member

  #9
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,680
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Eti kaona kukaa mpaka saa sita usiku bar ni kosa kubwa, ndio maana umeulizwa leta umri wako tuone kama tunaweza ku-share unachosema
   
 10. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #10
  Aug 29, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  kwa kweli hata mimi nilitaka nimuulize hili swali
   
 11. Penelope

  Penelope JF-Expert Member

  #11
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 654
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 80
  Hayo ni mawazo yako na tafsiri yako tu,nazani kila mtu ana uwelewa tofauti ,umri wangu hausiani na mada nliyoleta,If u can't comment just dont.,i blv you are not a teenager bcz am not.
   
 12. Penelope

  Penelope JF-Expert Member

  #12
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 654
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 80
  The issue is 'common' kwa upande wa wanaume and not women,thats why i said ingekua vip hali hyo ingekua wanawake pia..
   
Loading...