Lijue Ua lenye umbo la busu

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,001
9,866
Ua la Psychotria Elata ni ua ambalo linafanana na midomo ya mwanadamu au wengine wanaweza kuliita Ua Busu

Aina hii ya maua huota katika misiti yenye mvua nyingi kama Colombia, Costa Rica, Panama na Ecuador

Maua haya huanza kama Busu kabla ya kutoa tunda katikati na kuwa maua mengine zaidi

Je umependa umbo la ua hilo, mtag umpendae kumpa ishara ya Busu

1611592187685.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom