Lijue kundi la kiharifu la PCC la nchini Brazil

Muhalifu ni muhalifu tu...hata hao unaowaita organized syndicate....bado ni wahalifu tu....na hakuna serikali ambayo inaweza kuzidiwa nguvu na haya makundi...ukiona hivyo ujue ni rushwa tu...na hayo makundi yanalipa mabosi wa serikalini, waziri etc mishara.....watu nyeti wanavujisha siri za undercover agents kwa hayo makundi...sababu ya rushwa....na kupata mrahaba.....Mkono wa dola unapaswa kuwa na nguvu....unaongelea syndicate ya 20000 people wakati serikali na vyombo vya ulinzi na usalama na agents ni mara nyingi ya hiyo idadi....
Inshort RUSHWA ndo hua tatizo ..viongozi wa serikali wanaiuza nchi kwa magenge ya maharamia....lkn kama wakiamua....wanateketeza..ikishindwa bac sio serikali tena.....Italy ilikua na magenge makubwa na hatari zaidi ya uharifu...Ma Godfathers wakiitaliano kwenye organized crime watabaki kwenye historia..hata hao walatino walikua hawafui dafu..na inshort baada ya magenge ya kiitaliano kufa na kupotea magenge ya walatino ndo yakaendeleza....
RUSHWA NA ILLEGAL MIRAHABA NDO SOURCE YA KILA KITU
basi huku kwetu tuna vibaka na sio majambazi
 
Fuatilia ndio utajua ugumu au urahisi wa kupambana na hao wahalifu,umetoa mfano wa Italian Mafia(almost all big bosses went legal) na biashara zao halali zinamashroom.Walifanya hivyo baada ya kuwa wameshachuma sana kama ambavyo Russian Mafaia wanafanya kwa sasa japo bado kuna wengi still underworld. Hii si kama kumuwinda mtu mwenye SMG anayevamia benki au wholesale shop,kama unafikiri hizo nchi hazipigani usiku kucha kuwakabili lakini inakuwa kama kujaribu kukamata kivuli then you don't know shit about these syndicates. Sina uhakika kama umewahi kuishi katika nchi za aina hii uone jinsi vyombo vya ulinzi na usalama vilivyo organised na bado wanachemsha kwa hawa watu,kuna askari wanajitolea,familia zao zinatekwa,kuteswa na kuuawa.Si kitu rahisi kama unavyotaamani iwe(your wishful thinking), uhalifu wa vikundi huwa unabadilika tu styles za utendaji kadri unavyokuwa unabanwa lakini haumaliziki 100%.
mbona marekani hakuna huu ufala ina maana hata izo nchi zikiamua kutokomeza hayo makundi wanaweza sana tena sana
 
Brazil, Argentina, Mexico yani kwa Ujumla America haswa South kuna watu wana vichwa vibovu kweli kweli na Sijui ni matumizi ya madawa yani damu kwao ni kawaida mno, Mtu yuko radhi aue mtu ili apate pesa ata kama ana afford life la kawaida They are most interested on luxury life
 
Wanaua hadi polisi mtaani ukiua mmoja wanaua familia nzima, usidhani ni panya road na linawanachama wengi wanaojulikana na wasiojulikana
kamaanisha wakati linaanza ndio maana wsnasema samaki mkunje angali mbichi..
ila hilo Taifa ni kama lina laana fulani
 
Back
Top Bottom