Lijue kundi la kiharifu la PCC la nchini Brazil

Mm ni mwanaume.
Siwez chinja wala kupiga kiumbe chochote except MBU tu ndio naua..

Siwez angalia kuku au mbuzi akichinjwa
Mstari wa mwisho unaonyesha jinsi ulivyo mororo dah!! Kweli vijqna wa dar mna tabu
 
Nasubiri part 2 yake nimevuta kigoda hapa mkuu elmagnifico ukitoka uni tag manake naona kama ku subscribe haitoshi
 
Ni kweli kabisa...hapo ni mkono wa rushwa..tangu lini wafungwa wakatunishiana misuli na serikali....usikute mabosi wa hilo kundi ni viongozi wakubwa serikali...nchi za bara la America kusini zinamatatizo makubwa sana hasahasa sababu ya kushamir kwa biashara ya madawa ya kulevya...
Naomba nikushauri uangalie movie mmoja hv ya "THE MAKING OF THE MOB" kwa sasa inavipande 6 nadhani inaendelea utajifunza mambo mengi kuhusiana na hili jambo. Nchi yetu bado ndogo sana kwenye mambo ya crime, kiufupi watu wanaiga tu lakini wapo wenyewe km umeshawai kumsikia mtu mmoja anayekwenda kwa jina la PABLO ESCOBAR. Km umeshawai kumsikia huyu jamaa then nafikiri unajua ninachosema.
 
Ni kweli kabisa...hapo ni mkono wa rushwa..tangu lini wafungwa wakatunishiana misuli na serikali....usikute mabosi wa hilo kundi ni viongozi wakubwa serikali...nchi za bara la America kusini zinamatatizo makubwa sana hasahasa sababu ya kushamir kwa biashara ya madawa ya kulevya...
Hao si wahalifu mbuzi wakibongobongo,it's a well organised syndicate.Polisi yeyote wanayejua anawafatilia wanafagia familia yake yote(mke,watoto na wazazi),na ufahamu members wengi wanakuwa hawafahamiki,hata ukitumia undercover agents bado hawezi kifika mbali kwakuwa hilo huwa wanalifamu so hakuna straight chain hivyo hata wenye wengi hawafahamiani.Syndicate ya watu 20,000 ukiwa memba utajikuta unawafahamu kumi au ishirini tu ambao ni juniors.System ya kuyavunja hayo makundi inafanya kazi usiku na mchana na sometimes huwa wanafanikiwa lakini kupambana na watu very determined na wanaoufahamu mfumo mzima wa vyombo vya usalama(huwa wana watu wa system ambao wako kwenye payroll, wengine ni wahanga wanakuwa blackmailed na wengine ni uoga tu wa kutotaka kuwa wanawindwa).Unaweza ukakamata baadhi yao hata ambao ni seniors(na hili hutokea mara nyingi) lakini replacement ya kuziba mapengo huwa haichelewi.
 
Muhalifu ni muhalifu tu...hata hao unaowaita organized syndicate....bado ni wahalifu tu....na hakuna serikali ambayo inaweza kuzidiwa nguvu na haya makundi...ukiona hivyo ujue ni rushwa tu...na hayo makundi yanalipa mabosi wa serikalini, waziri etc mishara.....watu nyeti wanavujisha siri za undercover agents kwa hayo makundi...sababu ya rushwa....na kupata mrahaba.....Mkono wa dola unapaswa kuwa na nguvu....unaongelea syndicate ya 20000 people wakati serikali na vyombo vya ulinzi na usalama na agents ni mara nyingi ya hiyo idadi....
Inshort RUSHWA ndo hua tatizo ..viongozi wa serikali wanaiuza nchi kwa magenge ya maharamia....lkn kama wakiamua....wanateketeza..ikishindwa bac sio serikali tena.....Italy ilikua na magenge makubwa na hatari zaidi ya uharifu...Ma Godfathers wakiitaliano kwenye organized crime watabaki kwenye historia..hata hao walatino walikua hawafui dafu..na inshort baada ya magenge ya kiitaliano kufa na kupotea magenge ya walatino ndo yakaendeleza....
RUSHWA NA ILLEGAL MIRAHABA NDO SOURCE YA KILA KITU
 
Fuatilia ndio utajua ugumu au urahisi wa kupambana na hao wahalifu,umetoa mfano wa Italian Mafia(almost all big bosses went legal) na biashara zao halali zinamashroom.Walifanya hivyo baada ya kuwa wameshachuma sana kama ambavyo Russian Mafaia wanafanya kwa sasa japo bado kuna wengi still underworld. Hii si kama kumuwinda mtu mwenye SMG anayevamia benki au wholesale shop,kama unafikiri hizo nchi hazipigani usiku kucha kuwakabili lakini inakuwa kama kujaribu kukamata kivuli then you don't know shit about these syndicates. Sina uhakika kama umewahi kuishi katika nchi za aina hii uone jinsi vyombo vya ulinzi na usalama vilivyo organised na bado wanachemsha kwa hawa watu,kuna askari wanajitolea,familia zao zinatekwa,kuteswa na kuuawa.Si kitu rahisi kama unavyotaamani iwe(your wishful thinking), uhalifu wa vikundi huwa unabadilika tu styles za utendaji kadri unavyokuwa unabanwa lakini haumaliziki 100%.
 
Ndio sababu ukiona Magufuli anapambana na rushwa na usimuunge mkono basi utakua mwendawazimu
 
Back
Top Bottom