Lijue kabila la DINKA, kabila la watu wa watu, kabila la majitu

Jf niko since 2006, tulikuwq tukitumia majina halisi na anwani zetu za kweli, enzi hizo tukiitwa JamboForums.
List of shame ilitusababishia mashaka makubwa ndipo mwaka 2009 nikaja na user name ya Bujibuji.
Swali lako halijakaa kuiujenzi zaidi, ila kunidhalilisha.
Mimi ni nyani mkongwe, watu wa aina yako kwangu ni kama uturi mzuri.
PM yangu iko wazi siku zote, je kulikuwa na ugumu gani kunifuata huko?
Pia hapa tunaweka nyuzi ili kila mtu ashiriki katika kuzijenga na kuziboresha, je ulishinwa ingia Google ukaleta ili jamii ya watu wetu wajionee Hawa majitu yanavyofanana?
Komredi naona umeamua kutoa darasa huru kwa kijana.....
 
Mkuu habari haijakataka kiu ya mtima nahisi urudi ufanyie utafiti ili sisi sote tupate kujifunza.

Kweli kwenye Bible Kuna Majitu yametajwa lakini Mkuu kataja Afrika,na angesema waliishi Karne ipi,Kanda ipi ya Africa,na angeleta reference za kihistoria.

Vinginevyo hii itakuwa tu Kama Riwaya
Wamefeli walisha angamizwa
 
Kwanini unataipu wakati unadraivu at the same time!??? Wewe mwenyewe umeshindwa nini kunifuata PM ukayasema haya, hujui unaniharibia BRAND yangu nimehustle sana kuijenga kwa miaka mingi!??? Ikumbukwe mimi ndiye member pekee hapa JF ambaye rates za PM ziko chini sana, ukiachilia mbali yale makatomakato ya kawaida. Haya ni mafanikio makubwa sana ya serikali ya awamu ya tano, imeondoa utitiri wa kero, kodi & tozo almost 200 ili Watanzania tufanye business watu tutajirike tuwe mazilionea.
😳😳
 
Ikiwa kazi kubwa ya Wadinka wa kiume ni kukata misitu itakuwa tangu miaka hiyo kwa sasa hawana kazi tena.
Halafu naomba nifahamishe jinsi ya kupeleka posa kwa wasichana wa kidinka kwani nimependa sana vimo vyao ili niwalete kwetu milimani.
 
Ikiwa kazi kubwa ya wadinka wa kiume ni kukata misitu itakuwa tangu miaka hiyo kwa sasa hawana kazi tena.
Halafu naomba nifahamishe jinsi ya kupeleka posa kwa wasichana wa kidinka kwani nimependa sana vimo vyao ili niwalete kwetu milimani.
Nakupa utaratibu soon
 
Kwani wale si waliteketezwa na mvua ya gharika au baadhi waliingia kwenye safina?
Walichotwa na mvua ya gharika wote wale majitu sababu yalikuwa yamezaliwa kiharamu haramu vile. (uhusiano kati ya malaika na raia wa duniani) ndio wakatoka copy ya hiyo mijitu mi deadly! 😂
✌️
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom