Lijue bati la msouth kisha linunue kwa bei ya kiwanda

Kama mna mfumo wa installments,funguka tuone usalama wake.
Installment ina mfumo mmoja tu unaweka ulichonancho kwanza unapewa receipt baad aya mda kama mwezi unae,a malizia au ukaweka awamu tatu ila isiwe mda mrefu sana atleast ndani ya miez miwili,usalama ni kuwa unapewa receipt na official na mihuli,may b unaezasema ww ulitaka usalama upi zaidi
 
Naomba ufafanuzi hapo kwenye meter, ni kipande au? mfano ubapoandika gauge.... 9500/ meter.
 
Installment ina mfumo mmoja tu unaweka ulichonancho kwanza unapewa receipt baad aya mda kama mwezi unae,a malizia au ukaweka awamu tatu ila isiwe mda mrefu sana atleast ndani ya miez miwili,usalama ni kuwa unapewa receipt na official na mihuli,may b unaezasema ww ulitaka usalama upi zaidi
Uje unipe jibu nahitaji bati this saturday,
 
Walituaminisha bati hizi kwa elfu 50 unapata moja tu!
Ilikuwa nikipita kwenye nyumba zilizoezekwa na hizi bati nazihesaaabu afu nazidisha mara 50 elfu kwa kila bati...najikuta sitamani hata kununua kiwanja....
Shubaaamit!
 
Naomba ufafanuzi hapo kwenye meter, ni kipande au? mfano ubapoandika gauge.... 9500/ meter.
GAUGE(units of thikness)

Ni neno ambalo huwezi kulikwepa pale unapoulizia bei ya bati,gauge(unit of thikness of a metal sheet or wire,unene wa coil ya bati,hii ni moja ya sababu kubwa ya kwanza kutofautisha bei za bati,ata kama bati li kiwanda kimoja,na ipo kwenye mtindo wa retrogressive scale maana yake number inavyokuwa kubwa thikness(unene)unapungua.
Mfano wa vipimo katika gauge ni 24,26,28,30 na 32.
24gauge ni nene kuliko 26g,26g ni kubwa kuliko 28g,28g ni kubwa kuliko 30g na 30g ni kubea kuliko 32g .
Hii huleta utofauti wa bei pia kuwa 24g huwa na bei kubwa kuliko 26g,na 26g huwa na bei kubwa kuliko 28g na 28g huwa na bei kubwa kuliko 30g na 30g huwa na bei kubwa kuliko 32g.
Mfano wa pili
Ukichukua bati za upana huo huo za kampuni moja ili zikupe kilo 90,ukaamua kuziweka kwa bundle
Bati za gauge28 zitakaa piece 12,gauge30 zitakaa 16 na gauge 32 zitakaa 20 na zote zitakuwa na 90kg

Piga 0656-816616
Kwa elimu kabla ya kununi bati,kisha ununue bati unalolijua kwa bei halali na bora.
 
Naomba ufafanuzi hapo kwenye meter, ni kipande au? mfano ubapoandika gauge.... 9500/ meter.
Hivi vipimo mbona vinajulikana at aukishika futi yako au ata ukiazima utaona vimipo in ft na meter tafuta futi utaviona hapa kwa picha huezi ona hvy vitu mkuuuu jst formul arahisi
10ft=3meter hapo hope utaelewa
 
Naomba ufafanuzi hapo kwenye meter, ni kipande au? mfano ubapoandika gauge.... 9500/ meter.
Nini kinafanya bati za kiwanda kimoja kuwa na bei tofauti?
Wakati material ni yale yale,kiwanda hicho hicho na machine hizo hizo!
1.Gauge(unene wa bati)
Hiki ni kigezo kikubwa sana katika kutofautisha bei bati hilo hilo ,material hayo hayo,rangi hiyo hiyo ila 26gaug itauzwa bei kubwa kuliko 28gauge,na 28gauge itauzwa bei kuliko 30gauge na 30g itauzwa bei kuliko 32gauge hiii yote ni kwamba wateja wa kila daraja wapate kile kile ,bei isiwe kigezo cha wao kukosa kilicho bora

2.Upana
Hapa pia ukipaelewa sana hutachezeshwa na bei za bati nataka kukuonesha kama bati la kampuni moja linatofautiana bei kwa ajili ya upana,utajua nguvu ya upana katika bei ya bati na utangundua huwa tunachokwepa ni kidogo sana kama tukijalo sana bei mfano bati la it5 la upana wa 107cm linauzwa 12,500/kwa meter na bati hilo hilo la kampuni hyo hyo,gauge hiyo hiyo,rangi hiyo hiyo ila upana wa 87cm linauzwa 9,500/kwa meter,tofauti ya 20cm inaleta tofauti ya 3000/=meter.
Tungekuwa tunawapandish mafund wakupe hesabu kutokana na upana wa bati kuliko kukadria tungeona ni tofauti ndogo tu.

3Aina za bati
Hii ni kawaida kama nilivyosema kila aina ya bati ina machine yake,ina speed yake ya uzalishwaji na operation cost za uzalishaji ndio maana bei zitatofautiana kulingan na aina japo material ni yale yale,ubora ule ule,na kiwanda hico hicho,corrugated(migongo midogo)ndo zitakuwa bei angalua,zitafuata it4 it5(migongo mipana),zitafuata versatile alafu natural stone coated.
Call 0656-816616

Nb:kwa wateja walio serious tu tu,mafundi na watu wa ujenzi
Kwa wanunuzi tu wanaotaka ubora na kupunguza gharama join our whatsapp group
Ujenzi Kwetu Tanzania
 
Naomba ufafanuzi hapo kwenye meter, ni kipande au? mfano ubapoandika gauge.... 9500/ meter.
Somo jingine kwa nini bei ya mabati inatofautiana kiwanda kimoja na kingine.
1.material
Ni kawaida kuwa kama unanunua material kwa bei ya juuu itapelekea uzalishaji kuwa juu na bidhaa ya mwisho kuwa juu baada ya kuset price,ingawa pia material ya kiwango cha juu hupelekea bidhaa ya ubora kuuzwa juuu ingawa,watu wa uchumi c wote tunaamini kuwa bei inabashili uimara wa bidhaaa.
2.Gauge
Kwa mtu yoyote anayelijua bati au alishawai nunua atangundua bei za bati zinapisha kwa gauge(unene wa coil),24gauge huwa na bei ya juu,kuliko 28gauge,28g huwa bei kubwa kuliko 30,30g nikubwa kuliko 32g,hili naliamini sana mm kweny utofauti wa bei

3.Upana wa bati
Bei nyingi za viwanda hutofautiana kulingana na upana wa bati,bati la upana wa 110cm,litatofautiana na la upana wa90,87,82,78cm kwa kuwa upana ukiwa mkubwa material yanaenda mengi na kinyume chake ni sahihi

4.Aina ya bati
Hii inatokana na kila aina ya bati kuwa na machine yake,na operation cost na mda wa kuzalisha hizo bati zinayofautiana kulingana na mikunjo ya bati,bati la silver cortugated(migongo midogo)huwa ndo bei rahisi kila kiwanda,yatafuata ya corrugated colorfull(migongo midgo ya rangi) yatafuata it4,it5 msouth(migongo mipana) ,yatafuata ya mikunjo(versatile,romatile,nk) na ya mwisho kwa bei kubwa kila kiwanda ni stone natural coated hizi ni bati zimewekewa chembe chembe za miamba kwa juu
Kwa zingine au ufafanuzi zaidi piga
0656-816616
Kwa wanunuaji,punguzo,ubora tunagroup letu kwa ajili ya kupaua na ujenzi wa bei nafuu kpunguza gharama ambazo sio zq ihali
Follow link
Ujenzi Kwetu Tanzania
 
Ukichukua bati za upana huo huo za kampuni moja ili zikupe kilo 90,ukaamua kuziweka kwa bundle
Bati za gauge28 zitakaa piece 12,gauge30 zitakaa 16 na gauge 32 zitakaa 20 na zote zitakuwa na 90kg

ewalaaaah! hapa nilikuwa napataka b'coz ukinipa bei kwa meter ni kama unanimix kiaina. So mkuu naomba unipe bei kwa bundle (gauge 28 na gauge 30).
 
Ungetoa Bei Elekezi Ingekuwa Vizuri Zaidi
e71d7776f10f1a82b02f15e11d7dfd8b.jpg

Screen shot ya page ya juu inayoonesha bei nikiweka labda hukuona au hukusoma yote
 
Duh! Kule kwetu nilinunua 18500/bati chapa kiboko, ila majirani wabayaita msauzi.

Kaka vp ubora wa Kiboko na crown kwa Mazao ya hapa kwetu?

Vp price kwa varieties hizi kwenu?
 
Hivi mkuu unaongelea bati la kiwanda gani?

Sun share

Ando

Alaf

Kiboko

Maisha mabati

Swali la pili

Ni kwa nini bati zinapauka rangi na kuwa na ukungu?

Ni kwa nini bati zinapata kutu( aluminum zinc chemistry)

Je unauzaje

Roman tile

Versatile

Na stone coated

Kama vile Decra, Fortiza etc.

Asante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom