JMK ROYAL SERVICES
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 226
- 83
Habari wadau leo nimejitolea kushare na nyie kidogo nijuacho kuhusu mabati nikiwa nimefanya kazi katika viwanda vitatu,ando roofing,quansheing na sun share badae nkawa agent.
Ntaanza na mambo muhimu ukitaka kujua mabati kabla ya kununua,kuna majina common ila kuna majina kutokana na kiwanda leo ntaanza na bati la IT5,industry trough 5 au migongo mipana au ndio bati la msouth,hili ndio bati la msouth,it5 maana hyo migongo iliyolala ipo mitano,ikiitwa it4 hyo migongo iliyolala itakuwa minne,ikiitwa it6 vile vile migongo inakuwa sita ya kulala ukiangalia picha utaona migongo mitano.
Hii inatengenezwa kwa coil ya kuanzia gauge 26,28,30 na 32 ,gauge maana yake unene wa coil gauge 26 ni nene kuzidi gauge28,na 28gauge ni nene kuzidi30gauge na 30g ni nene kuzd32g,ingawa huo utofauti utauona kwa vipimo,au kwa wazoefu kwa kushika tu,bei ya gauge26 huwa iko juu kwa kila kiwanda na bei ya chini kabisa ni kwa gauge32 kwa kuwa ni nyepsi kidgo,usiuziwe gauge 30 ukalipa bei ya gauge28 au ukalipa ya gauge26 ukauziwa 28g utakuwa umetapeliwa,pia bei hupishana kulinga na upana wa bati na kadri bati linavyokuwa pana ndio zinakaa chache kwenye paaa ukipimiwa na fundi mzuri.....
piga 0656-816616 kwa elimu zaidi
......asanteni
Usilipe hela nyingi kwenye paaa elimika kwanza .
Kwa wale wanaotaka bati bora la sunshare,kwa bei isiyo na gharama zingine,za ziada,follow hii link uingie katika harakati za kupaua kwa bei nafuu na kujua bati utakalo na ubora wake
Ujenzi Kwetu Tanzania
Mabati ya msouth(IT5),(Migongo mipana) -upana wa 107cm na 98cm gauge 26ni 16,284/meter,gauge28 ni 12,500/meter na gauge30 ni 11,120
-upana wa 87cm gaug26 ni 12,114/meter,gauge28 ni 9500/meter
Na gauge30 ni 8500/ meter